Uniliver Tanzania, Nipeni details zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uniliver Tanzania, Nipeni details zao

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by rifwima, Jan 28, 2012.

 1. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Jambo!

  Wana JF, heshima kwenu! Napenda kupata details za hii kampuni ya Uniliver (I know its a multinational company) especially range ya salary zao na mabenefits mengine? Pia mazingira ya kazi zao?

  Najua hapa jamvini ni full kwa kila kitu.

  Naomba kuwasilisha.
   
Loading...