Unhappy protesters want mubarak out now.

Anaondoka soon ijumaa baada ya swala wanaenda kwenye makazi yake itakuwa balaa asipotoka
 
Dont miss this episode coming to you soon and live.Proudly sponsoured by CCM (mapinduzi daima) in collaboration with DOWANS(More money No power).
 
Nimeipenda hiyo kama hajaondoka mpaka ijumaa mchana wanamuibukia ghetto na kumuondoa kwa nguvu lol!
ANAWAMBIA WAMISRI NTAACHIA NGAZI SEPTEMBER, WAO WANAMWAMBIA TUNATAKA UONDOKE LEO. I APPLAUD THE EGYPTIAN PEOPLE FOR THIS.:clap2:


x610.jpg


610x.jpg


600x.jpg
 
Mmmh. Unajua Farao hakuwaachia Israel kuondoka utumwani mpaka alipopigwa mapigo hatari na Yehova. Ni kawaida ya mafarao kutokukubali kushindwa mpaka wachapwe kisawasawa. Nawashauri hawa jamaa waongeze kasi ndo jamaa atatoka madarakani
 
Back
Top Bottom