Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,008
Nimeskitishwa sana na shule top ten 10 VILAZ,A Majority kutoka Tanzania Zanzibar hasa UNGUJA.
Zanzibar inasadikika kuwa na wakazi wachache sana kutokana na takwimu na maelezp ya Mbunge Ally Kessy!! Nimategemeo yangu kuwa ktk National Ranking wangeongoza katika mitihani yote (iwe std 7, Form 4 au Form 6) kutokana na ratio ndogo kati ya MWL na mwanafunzi au kati ya kitabu na Mwanfunzi. Maajabu, ni vice versa, baada ya Matokeo ya kidato cha sita kutangazwa majuzi Unguja ndio vinala wa kuzalisha vilaz,a Tz, Tazama hapa.
Shule 10 zilizofanya vibaya katika mitihani ya mwisho ni:
1. Itikadi za dini yoyote ile zizuiwe ktk mfumo wowote ule wa Elimu; mf. Hijabu zipigwe marufuku, suluali kwa wasichana marufuku.Wanafunzi Wanabobea kwenye dini kuliko Elimu dunia.
2. Viboko virudishwe kwa kasi zaidi, tena kila adhabu vianzie 3 na kuendelea. Watoto wana viburi balaa.
3. Walimu wote wapya na walio kazini waendelezwe JKT
4. Walimu wawe watu walio faulu SIYO walio feli. Mshahara wa kuanzia 1M unahitajika kwa hili kuvutia walio faulu.
5. Simu ziwe marufuku either Nyumbani au shuleni kwa mwanafunzi.
6. Shule zote ziwe za boarding, tena kwa kubadilishana na kuchangamana, mf. Kagera aende Mara, na wa Mara aende Kilimanjaro na wa Kilimanjaro aende Kagera. Shule za kata baada ya miaka 20 ijayo zitatuletea ukabila usio kuwa na kipimo!!
7. Walimu wanao jihusisha kimapenzi na wanafunzi wao , wafukuzwe kazi na kushitakiwa.
8. Neno Tuition ningelipenda li ingie Makumbusho hapa Tanzania.
9. Kujaza Walimu -wake wa wakubwa Mjini ikomeshwe!! Wengi wao ni vilaz,a hivyo watoto pia kuwa vila,za.
10. Wazazi tuzuie watoto kuangalia TV kila wakati (Movie za JB, Wema, Kifilipino, Burecelee, Rambo, nk).
11. Wazazi, tuache ulimbukeni, eti mtoto ana miaka 3; simu ikipigwa anapewa "msalimie/ongea" na bibi yako.
12. Wazazi tuwakague watoto madaftari na tuige ziara za kushitukiza kama za Mhe: Dr. JMP za kushitukiza kwa watoto mashuleni, wengi hawafiki-huishia magetoni kwa baodaboda!!
13. Idara ya ukaguzi nyanja zote iimarishwe. Wakaguzi wawe walio faulu vzr tu shuleni. Pia wasifanye ziara ile kama dili kwao (kupiga hela za Allowance na kuomba rushwa kwa Walimu wakuu na Ma Headmasters).
14. Prof. Ndalichako kaza buti, tumbua daily!! Vichwa vya watu vina kutu-haviskii.
Ni hayo tu kwa leo.

- Shule ya Mpendae (Unguja) yenye wanafunzi 100 [ya mwisho kabisa]
- Ben Bella (Unguja) yenye wanafunzi 101
- Tumekuja ya Unguja (178)
- Green Bird Boys ya Kilimanjaro (37)
- Jang’ombe ya Unguja (46)
- Kiembesamaki ya Unguja (123)
- Tanzania Adventist ya Arusha (65)
- Al-ahsan Girls ya Unguja (47)
- Azania ya Dar es Salaam (235)
- Lumumba ya Unguja yenye wanafunzi 137