Said_12
Member
- Nov 3, 2026
- 9
- 4
TUFANYE NINI KUREJESHA NIDHAMU SHULENI?
Siku hizi kumekuwa na changamoto kubwa ya tabia za wanafunzi mashuleni. Baadhi hawaheshimu walimu, wanatoroka vipindi, hawafanyi mitihani, wanatumia lugha chafu na wengine wamekuwa wagumu kufuata maelekezo.
Swali ni: Tatizo liko kwa wazazi, walimu, mazingira ya shule au jamii kwa ujumla?
Je, tufanye nini kurejesha nidhamu kwa wanafunzi wa kizazi hiki bila kutumia ukali uliopitiliza?
Nawakaribisha wadau wa elimu kutoa maoni na mapendekezo yao.