Ungeuaje soo hili!

Kuna watu wako closer kwa Ku close isee nimewakubali hahahahahaha.

Sent by chescomatunda using JamiiForums
 
uaminifu sio kuto kucheat ni kuhakikisha mwenzio hahisi, hajui, na hatojua kabisa.
 
wakati unajaribu kupotezea wife yeye anasema live "mimi naomba kondom"
 
colgate nageuza kiswahili imeshakuwa msala
 
Kondoo dukani!!

Haaaa! Wee kijembee ungeshtukiwa na mkeo. Kondoo kauzwa lini dukani? Na muuzaji angekushangaa mwisho wa ck mkeo angeuliza kuna nini hapa? Mwenye duka angemwambia unataka kuuziwa kondoo humu dukani!
 
ko ko kongoro,oh samahani naomba kongosho,oh namaanisha kokakola baridi kwa ajili ya mke wangu aiseh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…