Ungesema nin Kuhusu hii

Ungesema nin Kuhusu hii

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,939
92fcb0025585e8a81c6c6d0b0e7bcdd5.jpg
 
1. I hate violence..... it's not justiable to kill someone.... if he or she do you.... It doesn't pay to do him or her back. Take it..

Kwenye mtazamo wangu, hulka yangu toka ndani kwangu sipendi ugomvi na huwa nauepuka sana. Labda kwakuwa sina mahusiano wala familia....

Kwa vyo vyote vile na kwa gharama yoyote ile hasira yangu nitaimaliza kwa kuwatukana walioniudhi au kuwa dharau.

Kisha ntapambana juu chini niwe juu yao kimafanikio na kimaisha na sio ili niwalipizie kisasi laah bali waone mie sio wa size yao.... yulee nawaachia manyoya....

2. Wanasaikolojia wanasema kiwango cha hasira ya mtu ndo kinaeleza huyo mtu ana aina ya ukichaa kwa kiasi gani. Huyo dada licha ya kupandwa na hasira kwa kusalitiwa pia anaonesha ni kiasi gani akili zimemruka hapo na kiwango cha ukichaa alichonacho.

3. It's insane to kill someone for cheating you.... let it go and move on. ... (ni mtazamo wangu si lazima iwe hivyo, though it's fact!!)
 
Ni hivi mwanamke akikufumania alafu ukaeka uanaume pembeni na kujidai baby am sorry ni shetani tuu hata mavi atakulisha io siku.
Unasimama kiume unakaza msamaha mtaombana badae [emoji57]
 
1. I hate violence..... it's not justiable to kill someone.... if he or she do you.... It doesn't pay to do him or her back. Take it..

Kwenye mtazamo wangu, hulka yangu toka ndani kwangu sipendi ugomvi na huwa nauepuka sana. Labda kwakuwa sina mahusiano wala familia....

Kwa vyo vyote vile na kwa gharama yoyote ile hasira yangu nitaimaliza kwa kuwatukana walioniudhi au kuwa dharau.

Kisha ntapambana juu chini niwe juu yao kimafanikio na kimaisha na sio ili niwalipizie kisasi laah bali waone mie sio wa size yao.... yulee nawaachia manyoya....

2. Wanasaikolojia wanasema kiwango cha hasira ya mtu ndo kinaeleza huyo mtu ana aina ya ukichaa kwa kiasi gani. Huyo dada licha ya kupandwa na hasira kwa kusalitiwa pia anaonesha ni kiasi gani akili zimemruka hapo na kiwango cha ukichaa alichonacho.

3. It's insane to kill someone for cheating you.... let it go and move on. ... (ni mtazamo wangu si lazima iwe hivyo, though it's fact!!)
Umesama huna familia na mahusiano? vp yule mzee wetu uliyepiganea picha mnaogelea na ukatutupia humu jf amekuacha? na kama kakuacha basi naomba ruksa nigombee jimbo.utanifaa sana maana hawa vijana wenzangu wananipasua kichwa.
 
Hahahahaa Kasie bana mambo zake anajua mwenyewe. Dadii wangu tunakutana kwwnye starehe na vacation twapeana raha na kufurahishana na kutembea sehemu mbalimbali duniani.

Nachelea kusema ni mahusiano kwasababu hatuishi pamoja tunakutana kwenye matukio tuu na Kasie akipata crush twende kazi.

Wewe utanifanya hao unaowaacha waninunie na kunichukia. Waseti tuu watulie uende nao sambamba.
 
Umesama huna familia na mahusiano? vp yule mzee wetu uliyepiganea picha mnaogelea na ukatutupia humu jf amekuacha? na kama kakuacha basi naomba ruksa nigombee jimbo.utanifaa sana maana hawa vijana wenzangu wananipasua kichwa.
Fulsa
 
Back
Top Bottom