Ungependa nani awe Speaker wa Bunge lijalo?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,584
8,608
Kwa vyovyote vile iwe usiku au mchana lazima mwisho wasiku tuwena speaker wa bunge lijalo kwakuwa kunaonesha kutakuwa na upinzani mkali kutokana na mchuano mkali wa vyama je wewe unadhani ni yupi anafaa kuwa speaker wa Bunge lijalo?toa maoni yako.
 
Naaamini ccm itashinda na ni vema wakimweka Azan Zungu
 
mbunge yeyote wa UKAWA-CHADEMA anaweza kuongoza bunge kwan vichwa vyao viko smart,creative na ni wawajibikaji
 
Kwa vyovyote vile iwe usiku au mchana lazima mwisho wasiku tuwena speaker wa bunge lijalo kwakuwa kunaonesha kutakuwa na upinzani mkali kutokana na mchuano mkali wa vyama je wewe unadhani ni yupi anafaa kuwa speaker wa Bunge lijalo?toa maoni yako.
regina lowasa.
 
Mtu yeyote yule ambaye hata weka maslahi ya chama mbele .
Mtu yeyote yule ambaye hata ifichia serikali machafu yake kwa kukandamiza mada isijadiliwe bungeni .
Mtu yeyote yule atakaye leta usawa ndani ya bunge na Pia awe anajua sheria vizuri .
 
lissu... mnyika.. au mbowe

Mnyika anafaa! Tundu lissu kipindi hipi cha mapito kafeli mtihani. Ana mihemko na maneno ya mipasho, kakosa utashi hivyo kiti hakimfai. Mbowe na Lissu wanafanana ila Mbowe kazidi, ni mnafiki na muongo! Speaker si cheo lelemama.
Tatizo la Mnyika ni bado dogo sana.
 
Kwa vyovyote vile iwe usiku au mchana lazima mwisho wasiku tuwena speaker wa bunge lijalo kwakuwa kunaonesha kutakuwa na upinzani mkali kutokana na mchuano mkali wa vyama je wewe unadhani ni yupi anafaa kuwa speaker wa Bunge lijalo?toa maoni yako.

Kwangu Mimi Prof Baregu anastahili na anafaa sana na mbadala wake anaweza kuwa Prof. Safari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom