Ungependa kutoka na nani hapa JF....

ha haaaaaaa... son, i see you went for the jugular!!!

I would definitely look for Preta or Lilyflower:smile-big:

Hivi hakuna anatakayependa kwenda na boflo?
hahahahaha!.......
you can say that again
 
i woul like to go out with LILY FLOWER

Kwa kweli ni Preta sasa sijuwi na ile avatar au kuna mengine I do not know kwa kweli.

Preta au BHT (If they are really females and not married)

ha haaaaaaa... son, i see you went for the jugular!!!

I would definitely look for Preta or Lilyflower:smile-big:

Hivi hakuna anatakayependa kwenda na boflo?

Mie ni kati ya PRETA, na BHT au wote

Dah!

Dada zangu wana kazi kwelikweli! Big brother wao naangalia tu hapa.
 
hahaaa

hivi kuna ratio sawia kweli kati ya ladies and gentlemen humu? haya bana... nimejitoa basi, faidi!
 
Ahaahahaaaaah mkuu Bobby ngoja tumsubiri Preta mwenyewe achague atatoka na nani.
 
haya bana, nilikua najipendekeza mazee... si unajua arusha daily?
hehehehe!MUHIMU......

ngoja aje preta mwenyewe afanye maamuzi mazito

uzuri wa lily-flower HAGOMBEWI NA MTU HAPA
 
Kama vile sijaelewa swali ..ngoja nipate b/fast kwanza ?Mtoa mada Kama nikitaja kina dada wenzangu sawa si sawa?.................................
 
Boflo na Bwabwa laweza kuwa chaguo la kwanza la ......................:target:
 
Mtoa mada kasema 'rafiki wa kimapenzi', jahadhari usionekana lesbian!
 
Ngoja niwapigie simu dada zangu wajihadhari na mafataki wa Avatar!
 
Boflo na Bwabwa laweza kuwa chaguo la kwanza la ......................:target:

Hahaha! kiongozi nimekuelewa.

Nilijua line ya tigo unawapigia kina dada peke yao. Kumbe........................ pole zangu nyingi:target:
 
Kama vile sijaelewa swali ..ngoja nipate b/fast kwanza ?Mtoa mada Kama nikitaja kina dada wenzangu sawa si sawa?.................................
Mtoa mada kasema 'rafiki wa kimapenzi', jahadhari usionekana lesbian!
 
Hahaha! kiongozi nimekuelewa.

Nilijua line ya tigo unawapigia kina dada peke yao. Kumbe........................ pole zangu nyingi:target:

Hahahahaha
Wela wela welaaaaaaaaaaaaa
Aibu yangu aibu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…