Ungemfanyaje kwa mfano??

Ungemfanyaje kwa mfano??

Hawa watoto wa zamani1! Watoto wa siku hizi nawapenda sana angeshaipeleka kunakohusika......
 
Balaa kabisa hiyo, yaani Mzee angezugazuga na tembele alafu baadae anachomoka kwenda kula wali nazi na Nyama kwa Chepuko, hatari sana
Na huu ndo ulofa na ufala wanafanyaga wengi. Kama umeamua kuwa na chimbo la pembeni, basi toa huduma sawa pande zote, tena nyumba kubwa huduma iwe kubwa zaidi.
 
INGEKUWA MIMI SISEMI ZURI WALA BAYA NACHUKUWA ILIYOTOKA KWA MANGI NAPIKA NATENGA AKIWEZA ALE ASIPOPENDA ATAJIJU! HALAFU BAADA YA HAPO CHAKE CHANGU,CHANGU CHANGU!
 
Wala sisemi chochote napakua mchicha wangu tunakulaaa nasubiri jibu walaaa siulizi kuhusu mboga kesho mchicha ugariiii lazima ataongea
 
Mbona rahisi tu, aliniagiza kwa fedha yake nimnunulia nimuachie kwa mango atatuma mtoto, maana hawana mboga kwao. Unatoa simu unampigia na kumwambia Mimi natumia hii nyama nitakulipa fedha yako kesho.
 
Na huu ndo ulofa na ufala wanafanyaga wengi. Kama umeamua kuwa na chimbo la pembeni, basi toa huduma sawa pande zote, tena nyumba kubwa huduma iwe kubwa zaidi.


Neno la busara sana, I wish wengi wangekuwa na mawazo kama yako.
 
Back
Top Bottom