Ungelikuwa wewe Ungelifanya nini?

Ungelikuwa wewe Ungelifanya nini?

siamini
WEka SCREEN SHOT
Maana kulikua hamna mazoea ghafla hawezi kukutumia msg kama hiyo na kama alikua ANAKUTAKA ANGEKUFATA KWAKO

okey ngoja niamini ni kweli
JE ASHAWAHI KUWA NA DEMU NA MLIVYOKUA MNAAKAA NAE ALIKUA ANAKUTAMANISHA TIGO YAKE???

KAMA YOTE NI KWELI MWAMBIE SIKOROGI KINYESI
 
Hivi haya mambo nayasikiaga kumbe ni kweli yapo?
Inakuaje wanaume tunausaliti uanaume wetu jamani!!
Aisee yaani sio mimi niliyetumiwa sms ila nasikia hasiraa

Mkuu endelea kuyasikia tu,usiombe yakukute tena kwa mtu unayemwamini inatia uchungu mno
 
siamini
WEka SCREEN SHOT
Maana kulikua hamna mazoea ghafla hawezi kukutumia msg kama hiyo na kama alikua ANAKUTAKA ANGEKUFATA KWAKO

okey ngoja niamini ni kweli
JE ASHAWAHI KUWA NA DEMU NA MLIVYOKUA MNAAKAA NAE ALIKUA ANAKUTAMANISHA TIGO YAKE???

KAMA YOTE NI KWELI MWAMBIE SIKOROGI KINYESI
Haina shida dada ila siku yakimkuta jamaa wako wa karb utaamini,but thanks tuzidi kumuomba Mungu
 
Mkuu inabidi tuombe Mungu sana kwan hili tatizo ni kubwa,tuwaombee watoto wetu wa kiume!

Ki ukweki haya mambo yanakuwa sana sasa haswa hapa dar ile siku ya nyama choma pale mlimani nilienda na familia yangu aisee mashoga walikuwa wanajionesha waziwazi ilikuwa aibu.mungu atuondolee hili balaa kwa ndugu na rafiki zetu
 
kuna jamaa tumepanga nae nyumba 1 kuna siku akaniita kwake kunywa chai wakati nakunywa mkate ukaangukia kwenye suruali pale kwenye zipu..akaniambia acha nikufute uku ananishika kwwnye suruali yani nilichoka
 
kwenye suruali au dushelele?
 
Mkuu inabidi tuombe Mungu sana kwan hili tatizo ni kubwa,tuwaombee watoto wetu wa kiume!
ushaur Wang kwako..... Usifute namba yake katu..... Mrudishie hizo SMS abazokuwa anakutumia...... Uone mrejesho wake....

Akizituma tena mpigie simu na umwambie Ukweli kwalugha Kali sana... Na ikibidi muarifu kuwa unamfikisha ktk vyombo vya sheria mpuuzi sana hyo...
 
Kuna jamaa nilikuwa namuheshimu sana kama kaka,nilifahamiana nae toka 2009 huko Dodoma akitumikia moja ya Idara ya usalama nilishtushwa na haiba na muonekano wake,tuliendelea kuwasiliana na kumuomba ushauri ktk maswala mbalimbali hata ya jinsi kupata ajira nilianza kupata wasiwasi siku zilivyozidi kwenda kwa aina mawasiliano yake mf"vip wangu?I mic u sana Jana nilikuwa na wageni,na jion nikasahau kukutafuta" Nilipata hofu how come unamtumia mwanaume mwenzi msg kama hii? Nikampotezea kwa muda kidogo but leo from nowhere akanitext some of his sms
1."hee,ninahamu na wewe bhana ujee"
2."ndio,njoo bhana ulale,unakuja jion asubui unarudi kuendelea na mishe zako,njoo bhana upate raha kidogo"
3."We acha 2 kwel ukipata nafasi itumie,njoo upate Mambo ya pwani"
4."So,utakuja?"
5."ok.du so plz"
Nimesikitishwa sana kwa heshima niliyokuwa nampa mshkaji,nimekosa usingizi kuwaza juu ya haya ndugu zanguni jamaa Ana kazi nzuri kwani tatizo ni nini??Eee Mungu Tuepushie haya mabalaa na mapepo machafu sisi na vizazi vyetu!
pole kaka hao wa2 waznguaji tu,we ucmpotezee endlea nae maake hao w2 n hatari,we mwambie tu acha utani man fanya juu chni ucmpotezee
 
ushaur Wang kwako..... Usifute namba yake katu..... Mrudishie hizo SMS abazokuwa anakutumia...... Uone mrejesho wake....

Akizituma tena mpigie simu na umwambie Ukweli kwalugha Kali sana... Na ikibidi muarifu kuwa unamfikisha ktk vyombo vya sheria mpuuzi sana hyo...

Thank mkuu kwa ushauri
 
Kuna jamaa nilikuwa namuheshimu sana kama kaka,nilifahamiana nae toka 2009 huko Dodoma akitumikia moja ya Idara ya usalama nilishtushwa na haiba na muonekano wake,tuliendelea kuwasiliana na kumuomba ushauri ktk maswala mbalimbali hata ya jinsi kupata ajira nilianza kupata wasiwasi siku zilivyozidi kwenda kwa aina mawasiliano yake mf"vip wangu?I mic u sana Jana nilikuwa na wageni,na jion nikasahau kukutafuta" Nilipata hofu how come unamtumia mwanaume mwenzi msg kama hii? Nikampotezea kwa muda kidogo but leo from nowhere akanitext some of his sms
1."hee,ninahamu na wewe bhana ujee"
2."ndio,njoo bhana ulale,unakuja jion asubui unarudi kuendelea na mishe zako,njoo bhana upate raha kidogo"
3."We acha 2 kwel ukipata nafasi itumie,njoo upate Mambo ya pwani"
4."So,utakuja?"
5."ok.du so plz"
Nimesikitishwa sana kwa heshima niliyokuwa nampa mshkaji,nimekosa usingizi kuwaza juu ya haya ndugu zanguni jamaa Ana kazi nzuri kwani tatizo ni nini??Eee Mungu Tuepushie haya mabalaa na mapepo machafu sisi na vizazi vyetu!

mtiririko wa sms unaonyesha na ww ulikuwa unamjibu fine... acha umbea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom