py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
"UNGEKUA WEWE NDIO KINYOZI..UNGEFANYAJE??!!"
JAMAA; Oya Dogo Ninyoe Fasta Fasta,! Na Ole Wako Unikosee!!"
KINYOZI; poa usiogope!
JAMAA; Sasa Niogope Nini Kwa Mfano Yani!!"
KINYOZI; sorry bro, yan namaanisha, nmekuelewa,..ok, nikutoe staili gan?"
JAMAA; Utajua Mwenyewe Wewe Si Ndo Kinyoz!"
Sasa Jichanganye Unikosee!. Yani Utafurahi Na Roho Yako!!"
ungemtoa style gani?