Ungekuwa wewe ungehisi nini hapa?

Ungekuwa wewe ungehisi nini hapa?

Anyway inabidi siku nyingine ujiongeze hakuna mwanamke ambae hapendi hela sasa we sema tu staki gold diggers wakati wote wako hivyo yaani ukiskia vimajibu kama sikua na salio hapo unajiongeza ,jero au buku vocha sh ngapi zikusumbue we ni predator bana acha kuyumba


Halafu approach zako ni mbovu .tunatuma text mbili tu hizo zote una mdai figo ? Au unampigia basi maneno mengi acha baada ya kumfahamu jump to the point


Bado nafasi IPO Leo mtext kumjulia Hall asipojibu baadae mpigie halafu tiririka mzee baba au omba umuone
 
Kuna masomo zingine huwa ni ngumu zaidi kuzielewa humu Jf...[emoji848][emoji848]
 
Mabro zangu habarin za jion pamoja na masister zangu. Naomba tishuke nayo mdogomdogo

Wadau sikuchache zilizopita nilikua katika harakati za kupika baada ya kutoka chuoni simnajua tena maisha ya kiGetho kwa wale wanachuo... basi katika kuosha vyombo na kuanza kupepeta mchele mara ghafla nikaona Jeje (manzi ) mkali ambae hata akisimama na rihanna anamzidi uzuri japo kua nilimuona katika chumba jirani hapa nilipo panga..

Basi kama kawaida yetu wanaume nikapiga hatua mbili tatu nikaongee nae labda nitapata chochote kitu siunajua tena maswala ya Contact n.k Basi manzi akawa yuko kind na charming kwa aina yake ambavyo kila mwanaume akipata ukaribisho wa kias hiko lazima ukirud geto ujiangalie kwenye kioo [emoji23][emoji23][emoji23] wats going on with your face

Basi nikamwambia mama lao nitakucheki baadae baada ya mie kumalizia kazi zangu n.k. baadae nilienda ilikua kama saa3 usiku nikaongea nae kidogo na nikamuomba namba na mtoto akawa tayari akanipa no zake nikasema basi hapa nishaua [emoji57] lakini cha ajabu nilichotegemea kikawa opposite kabisa maana nilikaa siku nzima bila kumtext sasa nilipomtext hakujibu nikafululiza text nyingi kiasi kwamba kama ni binadam wa kawaida lazima ujibunlakin hakunijibu Daaah.... basi nikaona fresh nikasubir kesho yake nikampigia akasema hakuwa na message.. basi kwa kuwa me kidume na ndo nnatry kuget interest na huyi mrembo nikasema nakukuta hapo home lakini sikumwambia kama nampelekea voucher aunge sms maana kama unavojua ladies wanakua interested sana na men wanapojua vitu baadh kutoka kwa huyo men..

Lakin kwangu haikua ivo. Basi nilipofika nikampigia simu akapokea lakin tulivozid kuongea akasema kwanza hapendi kuchart na sio mtu wa kuongea hiiivo ko ni better niachane na kumpigia afu then akaja na point ya kishindo kwamba "kaka me sikai hapo.

Mimi nakaa mtaa mwengine kabisa so hata tukifahamiana haitakua na maana yoyote afu istoshe sipo huko unakofikiria" Khaaa nikabaki mdomo wazi sasa nikijiuliza mpaka ananipa namba yake na anasema tutawasiliana Afu baadae anatengua kauli nikaona nishakua Rejected afu pili nikagundua katika kufahamiana nae hakua muaminifu maana aliniaminisha kwamba anakaa pale kwa maana ni jiran yangu lakini haikua ivo tena

Basi mpaka hapo me nikaona huyu manzi maybe alikua anataka labd anitege aone responce yangu katika pesa maana hata Tsup yake hakua online tokea dei one nachukua namba na ni mwanachuo hauezi kusema kakosa bundle na vitu vya muhimu vinatumwa kwa emailz n.k

Upande wangu naona ntakua nna Overthink sana kuhusu huyu manzi maana nishamuona kama ni Gold digger alikua anasubir nimpe bundle awe active ndo nae aone kama niko na njaa nae afu pengine naona ni muongo

Kwan wazee hapo nntakua na mhisi vibaya au Rejection inanichanganya coz sijawah kuwa rejected Before
Mkuu sijajua upo group gani kati ya
1,Mvulana,
2,Mtoto wa kiume,
3,Mwanaume na mwanamume, ila ninauhakika group la tatu huwezi kuingia.
Hivi unaanzaje kulialia kisa katoto ka kike? Inamaana wasichana wameisha ama?
Alafu tatizo lako huna confidence shwain 😠
 
Status marked
Mkuu sijajua upo group gani kati ya
1,Mvulana,
2,Mtoto wa kiume,
3,Mwanaume na mwanamume, ila ninauhakika group la tatu huwezi kuingia.
Hivi unaanzaje kulialia kisa katoto ka kike? Inamaana wasichana wameisha ama?
Alafu tatizo lako huna confidence shwain [emoji34]
 
Mabro zangu habarin za jion pamoja na masister zangu. Naomba tishuke nayo mdogomdogo

Wadau sikuchache zilizopita nilikua katika harakati za kupika baada ya kutoka chuoni simnajua tena maisha ya kiGetho kwa wale wanachuo... basi katika kuosha vyombo na kuanza kupepeta mchele mara ghafla nikaona Jeje (manzi ) mkali ambae hata akisimama na rihanna anamzidi uzuri japo kua nilimuona katika chumba jirani hapa nilipo panga..

Basi kama kawaida yetu wanaume nikapiga hatua mbili tatu nikaongee nae labda nitapata chochote kitu siunajua tena maswala ya Contact n.k Basi manzi akawa yuko kind na charming kwa aina yake ambavyo kila mwanaume akipata ukaribisho wa kias hiko lazima ukirud geto ujiangalie kwenye kioo [emoji23][emoji23][emoji23] wats going on with your face

Basi nikamwambia mama lao nitakucheki baadae baada ya mie kumalizia kazi zangu n.k. baadae nilienda ilikua kama saa3 usiku nikaongea nae kidogo na nikamuomba namba na mtoto akawa tayari akanipa no zake nikasema basi hapa nishaua [emoji57] lakini cha ajabu nilichotegemea kikawa opposite kabisa maana nilikaa siku nzima bila kumtext sasa nilipomtext hakujibu nikafululiza text nyingi kiasi kwamba kama ni binadam wa kawaida lazima ujibunlakin hakunijibu Daaah.... basi nikaona fresh nikasubir kesho yake nikampigia akasema hakuwa na message.. basi kwa kuwa me kidume na ndo nnatry kuget interest na huyi mrembo nikasema nakukuta hapo home lakini sikumwambia kama nampelekea voucher aunge sms maana kama unavojua ladies wanakua interested sana na men wanapojua vitu baadh kutoka kwa huyo men..

Lakin kwangu haikua ivo. Basi nilipofika nikampigia simu akapokea lakin tulivozid kuongea akasema kwanza hapendi kuchart na sio mtu wa kuongea hiiivo ko ni better niachane na kumpigia afu then akaja na point ya kishindo kwamba "kaka me sikai hapo.

Mimi nakaa mtaa mwengine kabisa so hata tukifahamiana haitakua na maana yoyote afu istoshe sipo huko unakofikiria" Khaaa nikabaki mdomo wazi sasa nikijiuliza mpaka ananipa namba yake na anasema tutawasiliana Afu baadae anatengua kauli nikaona nishakua Rejected afu pili nikagundua katika kufahamiana nae hakua muaminifu maana aliniaminisha kwamba anakaa pale kwa maana ni jiran yangu lakini haikua ivo tena

Basi mpaka hapo me nikaona huyu manzi maybe alikua anataka labd anitege aone responce yangu katika pesa maana hata Tsup yake hakua online tokea dei one nachukua namba na ni mwanachuo hauezi kusema kakosa bundle na vitu vya muhimu vinatumwa kwa emailz n.k

Upande wangu naona ntakua nna Overthink sana kuhusu huyu manzi maana nishamuona kama ni Gold digger alikua anasubir nimpe bundle awe active ndo nae aone kama niko na njaa nae afu pengine naona ni muongo

Kwan wazee hapo nntakua na mhisi vibaya au Rejection inanichanganya coz sijawah kuwa rejected Before
Una matatizo ya kisaikolojia, why do you take rejection so serious to the extent that you forget living.
 
Nilichogundua ulianza vizuri adi ukapewa namba, lkn umeharibu kwa kua msumbufu sana, sms moja tu si ingetosha?

Afu vocha si ungemtumia tu direct? Hadi umpelekee!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom