Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
Ukikua utaachando mapenz hayo
bado una mapenzi ya U20
Soma utawapata wengi
na wote Zinafanana utamaliza Mabucha
mwenzako anakuchezea kwa ni mashine yake inaliwa na wajanja
jaribu kum-delete akilini mwako taratibu utamsahau