Ungekuwa wewe ungefanyeje?

Ungekuwa wewe ungefanyeje?

Barnaba pro

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
210
Reaction score
13
Kuna msichana alikuwa ananipenda ila mimi simpendi,alitaka hata kunywa sumu kwa ajili yangu mama yake alivyoona hivo akamuamisha kabisa sehemu tuliyokuwa tunakaa na kumpeleka kwa baba yake Dsm huku akisoma,alikaa huko kwa miaka 5,

Alivyorudi mwaka jana alipendeza na alikuwa mzuri kuliko mwanzoni,mimi nikaanza kumpenda nikamfuata nikamueleza akanikataa kisa mimi nilimkataa kipindi kile;lakini baadaye akakubali na akakataa kusex na mimi hadi akarudi Dar;

Nilifanya utafiti ilionekana ---- mtu alisex nae alivyorudi huku,mimi niliendelea nae kuwasiliana kwa njia ya simu lakini alinipa maumivu makubwa hadi kiwango changu cha ufaulu darasani kikashuka kwa sababu aliwahi kunifanyia kitukö ambacho sijui kukisahau;

Nilikuwa shuleni mwaka jana nikiwa form 4 nasubiri mock,nilmpigiaga simu akakata na kuzima baadaye akawasha nampigia hapokei,ukituma text kwa mtu mwingine anajbu,hiyo ikanifanya nisisome kwa miezi 4 hadi nilpoingia kwenye paper kisa stress za mapenzi,

Toka nilipompotezea na maumivu yakaishaga,cha ajabu matokeo ya 4m 4 yalipotoka na nilipata 2 akaanza kunitafuta eti ooh nilpoteza namba yako sijui mara ooh;me kwa sababu nilikuwa nampenda nikamkubalia tena;

Sasa cha ajabu bado alikuwa ananifanyia vitu vya ajabu na nikampima kwa simu nyingne nikagundua ana mchizi mwingine huko Dsm,

Nakamuuliza akasema hana na hajawahi kusex,me nikamtajia hadi jina la mtu wake wa huko ambaye alitaja mwenyewe nilipompigia kwa simu nyingne akasema hiyo mtu hamjui;

Sasa jamani nifanyeje kuhusu huyu msichana mana naona ananiumiza moyo wangu tu lakini nina kama week 3 nimekata mawasilìano naye kwa kubadilisha line lakini nahisi bado nampenda
 
endelea tutakuuguza mwimbili ,akili za masharo bana soma boya wewe mapenz ni kama majira subiri upepo mzuri si unangangania kuka juani ka fa.La
 
Utoto raha sana ungejua wazazi wako wanavyohangaika ili usome usingeandika haya
 
Mwanaume unaumia kisa ni demu tu na hujamuoa? kunywa sumu ndo suluhisho
 
Dogo soma mapenzi yapo tu hapo ulikuwa 4m4 unataka girlfriend ukienda 5&6 wapo wengine warembo hapo napo utasaundisha binti mmojawapo chuo nako ndo kama wameshushwa toka mbinguni huko nako ndo utapangisha kitaa uoe bila kamati wala michango na ukija kuoa rasmi ndo utakuwa vile vidingi vipenda michepuko na chaboo.zingatia shule
 
Mmmmmmh,! Qe usisome fukuza upepo tu! Uje kuwa mpiga jalamba ndo huyo dem atakumwagia maji barabarani afu ndo moyo wako utapoa na kuridhika kwatuuuuuuu!
 
Siku hizi ndio wanafundisha kuandika hivi shuleni?
 
Huenda tunapigana vikumbo na wanetu humu...

cc Kongosho
 
Last edited by a moderator:
nakuombea tu kwamungu post za advance zitoke uende shule.maana kukaakwako nyumbani bila kitu cha kufikilisha akili yako mawazo yake ndo haya....soma kijana mapenzi yapo yakila rangi.wasichana kila siku tunazaliwa.usijindanganyeeti umempenda yeye tu..utaudhulia msiba wako mwenyewe....
 
Dogo soma mapenzi yapo tu hapo ulikuwa 4m4 unataka girlfriend ukienda 5&6 wapo wengine warembo hapo napo utasaundisha binti mmojawapo chuo nako ndo kama wameshushwa toka mbinguni huko nako ndo utapangisha kitaa uoe bila kamati wala michango na ukija kuoa rasmi ndo utakuwa vile vidingi vipenda michepuko na chaboo.zingatia shule

hahahaha;tshaa
 
Back
Top Bottom