Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Mgeni; Dah mbwa wenu mbona ananiangalia sana ninapokula?
Mtoto; kajibu, Labda kwa kuwa wamekupakulia kwenye sahani yake. Kama ni wewe ungeendelea kula au?
Inategemea ni chakula gani ?
 
Inategemea nina njaa kiasi gani. Wa...... Wanakula mbwa, itashindikana kutumia sahani yake.?
 
Ningemegea kipande cha mboga na kumwekea kwenye sahani yake Baba Mwenye Mji....!
 
sahani za mbwa bana huwa ni structureless.. lakini mpaka mtu afikie hatua ya kula chakula bila kugundua condition tofauti kama harufu au uchafu uchafu katika sahani, that means kuna usafi wa hali ya juu sana!

kama ni mimi, wallahi siendelei kula, na huyo alienipakulia hio menyu atanieleza vizuri tu baada ya kuzoeana kidogo!
 
Back
Top Bottom