Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Epuka sana kuingilia hii kitu inaitwa mapenzi ya wawili ndugu! Najua inauma, sana lakini jaribu ukiweza kwa busara sana mwambie maneno mafupi sana kakayo kwamba afuatilie nyendo za mkewe hasa anapokuwa safari! Epuka kusema yale ambayo umekuwa ukiyaona, afuatilie ayaone mwenyewe....
 
they say it is loneliness that makes booze nd infidelity all the more appealling....n.sasa huyo shemeji yako ana kila haki ya kuyafanya hayo maana ndoa dhumuni ni kuishi pamoja. mnapo ishi mbali mbali mnawekana majaribuni tuu.

kama anataka kuyafanya hayo si ayafanye huko huko
kuja na wanaume home means what!!!!!!!!!!!
kunywa pombe hadi kujikojolea is stupidity.....

lazima awe na self respect despite the so called lonilness
 
Mwambie kaka yako aweke mtego ili aweze kumnasa mwenyewe hapo itakuwa mwisho wa matatizo.
 
huyo shemeji yako anadharau kubwa sana kwa kudiriki kuyafanya hayo hadharani na kwa uwazi namna hiyo.... cha muhimu chunguza anapata wapi ujasiri wa kuyatenda hayo halafu ndiyo ufanye maamuzi sahihi ya namna ya hayo mambokufichuka
 
kama anataka kuyafanya hayo si ayafanye huko huko
kuja na wanaume home means what!!!!!!!!!!!
kunywa pombe hadi kujikojolea is stupidity.....

lazima awe na self respect despite the so called lonilness

nakubaliana na wewe kwa asilimia zote , no matter what respect to yourself ni kitu muhimu sana.
 
Cheki mipango yako, maana hayo hayakuhusu, ila fanya mikakati ya kumjuza kiaina. Hasa mjuze aje home kwa usiri ili aje ajionee mwenyewe! Pia kuhama ni busara mno. wakati upo huko ulikohamia ndio michakato ya kumpa mbinu kaka yako ya kumfumania mkewe uifanye. Ili ionekane mchezo huo kaanza baada ya wewe kuhama!
 
Hizi kazi za Migodini sio nzuri kwa familia ambayo wenza wapo mbalimbali.
 
Kuna namna ya kumwambia kaka yako bila kujua kuwa ni wewe,kadri unavyokaa kimya ndivyo kaka yako anapozidi kuwa katika hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa,kuhama hakukusaidii maana inaonesha usivyoweza kukabiliana na changamoto za maisha.
 
Mkuu kama mna wazazi ni vyema kuwaeleza wao kuliko kumwambia moja kwa moja kakaako. Then wao wataamua kulifanyia kazi kwa namna iliyo bora zaidi.
 
Hiyo miezi mitatu anayokuwa nje kaka yako unajua anachokifanya huko?
wao wanajuana wenyewe angalia maisha yako.
 
mwambie Inshu nzima afu mwambie amfuatilie a 2 z atamnasa mwenyewe ww hautaucka.
 
kama anataka kuyafanya hayo si ayafanye huko huko
kuja na wanaume home means what!!!!!!!!!!!
kunywa pombe hadi kujikojolea is stupidity.....

lazima awe na self respect despite the so called lonilness

there we go again with the pretence...sasakwani ukigegedwa hotelini ndio unakuwa na self respect!? as long as umegegedwa nje ya ndo doesnt matter the place bado huna self respect.
 
there we go again with the pretence...sasakwani ukigegedwa hotelini ndio unakuwa na self respect!? as long as umegegedwa nje ya ndo doesnt matter the place bado huna self respect.

I meant awe na self respect kutoenda nje ya marriage......,

na sikumaanisha kwamba kugegedwa mbali na home ndo atakuwa na self respect...,
 
Kumwambia ningumu hata ningekuwa mumi ila kitu kimoja unachoweza fanya nikumkabidhi mwenyezi Mungu yeye anajibu sahihi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
huyo shemeji yako anadharau kubwa sana kwa kudiriki kuyafanya hayo hadharani na kwa uwazi namna hiyo.... cha muhimu chunguza anapata wapi ujasiri wa kuyatenda hayo halafu ndiyo ufanye maamuzi sahihi ya namna ya hayo mambokufichuka
Like like...umenena vyema kweli ukute kuna kitu kinachompa jeur maana ni ngumu kwa mtu mwenye akili timamu,mapenzi na heshma kwa mumewe anaweza tenda matendo hayo tena bila woga
 
I meant awe na self respect kutoenda nje ya marriage......,

na sikumaanisha kwamba kugegedwa mbali na home ndo atakuwa na self respect...,

u see ngoja nikwambie kitu my dear sister. watu wanaoa au kuolewa hili wapate intimacy..ile jamani bby i mic u, mara sijui pole mara bby u luk beautiful, we as humans want to be valued, cared for and appreciatted.
sasa huyo njemba anapo kaa miezi mitatu huko mbali huyu mke anakosa the very thing that she entered marriage for, intimacy. asikudanganye mtu skype, calls, sms are a poor substitute for reality. we crave to be touched hugged a look into the eyes, kuchezewa hair, mara kakutania these things are what marriage is about.

sasa wewe usidhani kisa umeoa basi ndio mijamaa haitongozi oh inatongoza kweli kweli tena hamna raha kama kumlala mke wa mtu ujuage hilo. sasa here she is mwanaume anampa compliments anaonyesha kujali things that she cnt get from her husband who myt as well be getting some huko aliko. ni rahisi sana kwa huyo mwanamke kusema to hell with it ngoja tuu nijienjoy na jamaa as long as ana niappreciate na kunivalue
 
Endelea kufunga hilo domo lako na ikiwezekana hama mji kabisa sio nyumba tu ukasubiri kuitwa uje kumfunga nepi kaka yako kwa faida ya uoga wako. Faster peleka ujumbe kwa kakayo eboooo!
 
Kabla ya kumwambia kakako kwanza umshauri shemejio mara2, 3 Akizidi toa ukweli kamili kwa kaka.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…