Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,144
Umeamka zako asubuh ukaenda choon sasa wakat unaingia choon ukakutana na mpangaji mwenzio anatoka choon sasa na wew ulipoingia unakuta mshikaj amekata gogo ameshusha mzigo si wakitot na kuchafua sink then hajasafisha so ukaamua kughail kukata gogo na kutoka, sasa wakat unatoka ukakutana na demu uliyekuwa unamzimikia kitambo kirefu sana na yeye anakuja hukohuko chooni, sasa kama ni wewe utafanyaje ili yule demu asigundue kuwa ule mzigo haukuwa wako
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums