Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Ungekuwa wewe ungefanyaje?

Nashangaa watu wanaobeza iyo fasihi kwa kuiita chai,mleta mada kaleta jambo la kutufunza kwenye maisha yetu ya kila siku.Matukio kama hayo yanatokea kila siku kwenye maisha yetu, na si lazima lifanane na alivyosimulia mleta mada .
 
Natamani ningeweza kukupa like 100 au kila mmoja akupe like
 
We jamaaa sijui akili yako ikoje? Si ungemwacha aende zake na kama kakwambia mtoto sio wako nn kimekushawishi ujue anakupenda?
 
HUNA MKE UNA KIBIRITI NGOMA -(according to you)NINGEKUWA MIMI ASINGERUDI HUMO NDANI!!!!!
 
Nashangaa watu wanaobeza iyo fasihi kwa kuiita chai,mleta mada kaleta jambo la kutufunza kwenye maisha yetu ya kila siku.Matukio kama hayo yanatokea kila siku kwenye maisha yetu, na si lazima lifanane na alivyosimulia mleta mada .
Angeeleza kama ni liwaya za esopo au hadithi maana yy amejinasibu kuwa yy ndiye lililomtokea kiufupi hiyo hadithi amejitungia tu
 
Hadithi ya kutunga hii au ni kweli? Ungemwacha aende kwa baba wa mtoto, halafu ungemwambia juu ya utani wako.
 
Asubuhi kulipokucha nilishangaa kuona mke wangu amekusanya vitu vyake nje, nikamuuliza mbona anatoa vitu nje? Akanijibu hawezi tena kuishi na mimi kwani hawezi kuishi na mwanaume ambaye hana kazi, pesa, nyumba wala gari

Anatokea kanda gani hapa nchini
 
Cha kushangaza kwenye huu Uzi kuna watu wanadhani hii hadithi ni ya ukweli na wanamshauri mtunzi wa hadithi. Aiseee kweli FAO LA kijitoa linaumiza sana
 
Ungeweka na hirik kidogo ili chai iwe tam zaid ila hakufai kama ni kwel
 
Kama ulichoandika kina ukweli..huyo m'mke ndo wa kuishi nae maana anakupa moto wa kusaka pesa.
 
Nawaheshimu sana wanawake,rkn ni viumbe vya ajabu kuriko ujuavyo.pole sana kwa kutingisha UBONGO WAKO,pia tambua yupo kwa masilahi zaidi,chunguza maneno yake,vitendo vyake.utabaini ukweli ktk hayo mkuu
 
Back
Top Bottom