Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
- Thread starter
- #21
Sasa ndio anakukumbushia hiyo mibanz ungeionesha kule kwa kidume mwenzioNta mpa ma banzi nayeye aone ladha yake
Sasa ndio anakukumbushia hiyo mibanz ungeionesha kule kwa kidume mwenzioNta mpa ma banzi nayeye aone ladha yake
Yalikukuta nini mkuu🙂Mkuu umenikumbusha mbali sana nimejikuta nacheka alone
Wewe muoga inaonekanaSi mpaka initokee?
Namalizia asila zangu ulitumwa ucheke wepiga kimya tu niugulie mwenyeweSasa ndio anakukumbushia hiyo mibanz ungeionesha kule kwa kidume mwenzio
kabisa mkuu mambo mengine ni ya kuyasikia tu usiombe yakufike.
Kipindi nasoma siku moja wakati natoka tuition pale mchikichini ilala sasa kituoni kulikuwa na wanafunzi wawili wa Azania kama unavyojua wanafunzi wa Azania akili zao wanazijua wenyewe enzi hizo.
Ikaja GARI wanataka kupanda konda akawasukumiza wasipande weee walimvuta yule konda chini walimpiga mpaka wakamng'oa meno ya mbele mawili.
Nilimuomea huruma nikasema bora angekuwa mpole tu sasa na umri ushaenda meno hayaoti Tena si anabaki mapengo maisha Tena...nilimuonea huruma sana ila navyopenda kuchekaa nilichekaaa sanaaa.
Kha! nikapigane kwa mtu anae jiuuza, utavaaje kimini barabarani kama sio kujiuza?. wewe hata utiwe dole hiyo juu yako mie nachapa lapa, siwezi kutolewa manundu kwa ajili ya malaya. utavaaje kimini barabarani?Asililimia kubwa ya wadada tunapenda kupendeza hasa unapotoka na Mr .wako Mara nyingi mwanamke anajisikia yupo na ulinzi wa hali ya juu.
Sasa we jamaa umetoka na girl wako kajivalia zake kimini she wako sasa barabarani katokea jamaa kamshika wezele (makalio) she wako sasa na wewe mwanaume hujataka dharau ile mbele ya macho yako inabidi ujikakamue uonyeshe uwezo binafsi.
Unarejea mwanaume aliyemshika she wako unaanza kurusha ngumi sasa bahati mbaya kumbe jamaa kkakuzidi uwezo unatandikwa kisawa sawa mbele ya huyo demu wako full manundu.
baada ya hapo mnarudi nyumbani Tena ila demu wako kila akikuangalia anaishia kucheka alafu akwambii anacheka nini wewe ungefanyaje?
Kwa kunicheka huko anakaribisha makofi mazito mkuu [emoji3][emoji3]