Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Asililimia kubwa ya wadada tunapenda kupendeza hasa unapotoka na Mr .wako Mara nyingi mwanamke anajisikia yupo na ulinzi wa hali ya juu.
Sasa we jamaa umetoka na girl wako kajivalia zake kimini she wako sasa barabarani katokea jamaa kamshika wezele (makalio) she wako sasa na wewe mwanaume hujataka dharau ile mbele ya macho yako inabidi ujikakamue uonyeshe uwezo binafsi.
Unarejea mwanaume aliyemshika she wako unaanza kurusha ngumi sasa bahati mbaya kumbe jamaa kkakuzidi uwezo unatandikwa kisawa sawa mbele ya huyo demu wako full manundu.
baada ya hapo mnarudi nyumbani Tena ila demu wako kila akikuangalia anaishia kucheka alafu akwambii anacheka nini wewe ungefanyaje?