ungekuwa na makovu mangapi?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,068
Hivi ingekuwaje kama kila uki 'do' na mtu mpya unapata kovu mwilini?
 
Kuna mtu (was it Smile?) aliwahi kusema ingekua kila ku-do unakua na tobo mwilini basi wengine wangekua kama mosquito nets.
 
Reactions: awp
manne tu.

Unadhani sifa.Baada ya hayo manne umepata nini cha maana?Hiyo K ni kwa ajili ya mumeo na si vinginevyo.Mbona unataka kumpelekea mmeo tunda lililooza?
 
Unadhani sifa.Baada ya hayo manne umepata nini cha maana?Hiyo K ni kwa ajili ya mumeo na si vinginevyo.Mbona unataka kumpelekea mmeo tunda lililooza?

halijaoza MUYOOL, litasafishwa vizuri hahahaha
 
Last edited by a moderator:
watakaosema ukweli hapa ni wachache sana
 
Well.....I guess........officially ......................................................................3
 
ukianza kuchovya asali kuacha sio rahisi!!!!!!!

ila dont wait for too long,life is too short

Nitakulaumu hadi kufa leo kifanyio changu kimebirikiwa kumbe ntaa... ntaa... ntaaaaaaaamuuuuuuuuuu.....imeshapata kovu moya
 
ukianza kuchovya asali kuacha sio rahisi!!!!!!!

ila dont wait for too long,life is too short

Nitakulaumu hadi kufa leo kifanyio changu kimebirikiwa kumbe ntaa... ntaa... ntaaaaaaaamuuuuuuuuuu.....nimeshapata kovu moya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…