Ah! Ah! Ah!
Yaani na lianzisha apo apo kwanza, makofi mazito kwa jamaa, watu si watazongea! Nawambia jamaa kala asali yangu so skubali na staki mumpige, nnachotaka ni kumrudisha gest ile ile aliyom*mba mke wangu, ili na mimi nikajifariji (nikale manamba haya-0718) iwe funzo kwake na kwa wengine...!
Chezea mke wangu weeweeeenh!!!!!