Ungefanyeje...

Ungefanyeje...

emma115

Senior Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
135
Reaction score
167
Mtu mmoja aliekua akiumwa sana na kulazwa hospitalini huku akitumia mirija maalumu kupata hewa, alitembelewa na pastor kwaajili ya maombi. Katikati ya maombi kwakuwa mgonjwa alikuwa hawezi kuongea akachukua kikaratasi na peni akaandika kitu na kumpaPastor, sababu pastor alijifanya busy na maombi akakiweka mfukoni bila kukisoma, mara mgonjwa akafa. Kwenye mazishi pastor akakitoa kile kikaratasi kama kilivyo na kuwapa ndugu wasome akidhani ulkuwa wosia wa marehem. My God ! Imeandikwa..... " samahani pastor, umekanyaga bomba la hewa kwahiyo nashindwa kupumua" Vipi ungekuwa ndugu wa marehem...?
 
Inauma unaweza sema uzembe wa pastor,bt all in all mwisho wa siku ameshakufa u have to take as it is

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
aisee usingefanya lolote lkn tujifunze kusoma vitu mda huohuo
 
Ningemchukia sana yule Pasto akiwa kama msababishaji wa kifo cha huyu ndugu!!
 
kuendelea na life tu, aliyetangulia kwene haki huwezi kumrudisha.
 
Ni story ila inasikitisha saaaana, ndio bas tena ningeacha kama ilvyo.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom