Pili usioila wewe inakuwashiani? Mdada karidhika tena na kajisikia raha wewe mwangaliaji unaanza kuchonga, Mtz utamjua tu kwa kujifanya mwenye heshima...Wewe ungefanyaje kama ni dada yako? Kumpiga Kanye hata kusogea huwezi tena wewe ungefurahi ile mbaya na hata ungeweka kwenye Screen kabisa...acheni Ubazazi fanya yako....