Hizi resource eg madini tungeenda pasu kwa pasu na wawekezaji.
Halafu watoto mbona wanasoma muda mrefu sijui tunafata mitaala ya wapi. Zaidi ya miaka 15 watu wanasoma tu. Ningerekebisha hiyo kitu.
Kusingekuwa na vyeo visivyo na ulazima hasa ngazi ya serikali.
Ningeipanga upya dsm. Naona imekaa vibaya vibaya.
Ndugu mtazamaji,
Energy,energy,energy!...tatizo kubwa duniani ni nishati.Kama huna nishati,nchi inakuwa very hard to develop.
Ukinichagua mimi mluguru kuwa rais wako,nitashughulikia swala la nishati kama ifuatavyo:......
4.Nitaomba bunge kwa hisani yao wapitishe sheria ya adhabu ya kifo kwa mla na mtoaji rushwa.
Yangu itakuwa tofauti,wanasiasa wetu huwa hawaelezi watafanyaje,mie nitaeleza kwa kina nitawezaje kusambaza umeme katika kipindi cha miaka nane ijayo.Lakini nimefundishwa king'eng'e kwa hiyo mkitaka nimwage terial niruhusuni niongee yai!Hii ya adhabu ya kifo nakubalina na wewe kabisa hivi kwa nini waliondaa adhabu hii kwa kuiga iga tu? But kwa ku kuchallnge zile sabbau nyinngine ulizotataja ndio wanasiasa wetu wanatumbia kila siku. May be kivipi yako itakuwa tofauti.
Hii adhabu ya kifo kama nikiwa kwenye postion nitapend akuona inarudi ingaw imani yangu ya dini haikubalini nayo but kwa manufaa ya taifa Napenda kuona adhabu hii inarudi kwa makosa fulani fulani.
Safi sana
Yangu itakuwa tofauti,wanasiasa wetu huwa hawaelezi watafanyaje,mie nitaeleza kwa kina nitawezaje kusambaza umeme katika kipindi cha miaka nane ijayo.Lakini nimefundishwa king'eng'e kwa hiyo mkitaka nimwage terial niruhusuni niongee yai!
Yangu itakuwa tofauti,wanasiasa wetu huwa hawaelezi watafanyaje,mie nitaeleza kwa kina nitawezaje kusambaza umeme katika kipindi cha miaka nane ijayo.Lakini nimefundishwa king'eng'e kwa hiyo mkitaka nimwage terial niruhusuni niongee yai!
Ndugu mtazamaji,
Energy,energy,energy!...tatizo kubwa duniani ni nishati.Kama huna nishati,nchi inakuwa very hard to develop.
Ukinichagua mimi mluguru kuwa rais wako,nitashughulikia swala la nishati kama ifuatavyo:
1.Nitalipa kipaumbele suala la kusambaza umeme nchi nzima katika kipindi cha miaka nane,sio ishirini na mbili.
2.Nitaandaa mkakati wa kuhamasisha na ikibidi nitatumia nguvu kuhakikisha utegemezi wetu wa mafuta kutoka nje unapungua kwa asilimia 40 katika kipindi cha miaka mitano.
3.Nitahamasisha uwekezaji katika sekta ya nishati inayojirudia kama upepo,jua,takataka,bahari nk.
4.Nitaomba bunge kwa hisani yao wapitishe sheria ya adhabu ya kifo kwa mla na mtoaji rushwa.