Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Ilishatokea siku za nyuma rafiki angu alikutana na mdada facebook jamaa kuona picha za mdada akadata akachukua namba wakaendelea kuchat. One day wakapanga kukutana sehemu
(wanaishi Tanga wote ) jamaa wakati yupo ndani ya haic anamuwahi mtoto... ndani ya haic akakaa na mtoto mwingine mkali nako akachukua namba..alipotaka kuisave duu ni ya yule wa fb chalii alidata aiseee. Ikabidi a shule faster coz angejiharibia.
Haya mambo yanatokea sana
Hahahaaaa!! Uwiii hii nimeipenda aisee, ila bahati nzuri siku hizi kabla hamjaonana mnatumiana picha