chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Ameeen mungu ni mwema
Naomba niwape ushuhuda nilikuwa naomba kulifuta jina la CCM chini ya mbingu kwa uovu wanaotenda wa kutesa akina mama wanawazito hospitali, cha kushangaza jamaa kwenye kampeni zao hawataji jina la CCM, najua kuna jambo limefanyika katika ulimwengu wa roho