Ungana nami katika maombi maaluma ya kuiombea UKAWA.

Ungana nami katika maombi maaluma ya kuiombea UKAWA.

hii imekaa njema. naunga mkono hojaa.
 
Acheni kumshirikisha mungu Na ujuhawenu, mmeweka kitoi eti mgombea urais
 
Thr hyper toka ijumaa nimeanza saa tisa.mpaka kumi.ubarikiwesana
 
Kama una imani kuwa UKAWA inaweza kushinda, basi hiyohiyo imani inaweza kuamisha milima...yataka moyo kuamini ndani ya ukawa
 
Aamen na Mungu atusaidie. Ccm imetutesa sana na inaunafiki mkubwa sana. Hafai kabisa. Mungu sasa hatutaki tena chama hichi cha ccm na mfumo wake wa manyanyaso , ulaghai, na unafiki. Ee Mungu saidia ukawa na uwalinde kwa Jina la Yesu
 
Amina mtumishi was Mungu. Biblia inasema wawili wakikubaliana kwa neno waliombalo Mungu atafanya mathew 18:19, Wao wanataja waganga, wao wanataja pesa, wao wanataja uongo na uzushi lakini sisi UKAWA tunalitaja jina la YESU Zaburi 20:7.

Mungu anajibu maombi Mathayo 7:7. Tupo pamoja mtumishi
 
#Balogun
Na maandiko yanaturuhusu tuseme haja za mioyo yetu.
Na tena tumpelekee hoja zetu zenye nguvu asema BWANA.
Isaya 41:21
Pia,tumwite katika siku hizi atatuokoa asema BWANA.
Zaburi 50:15
Ubarikiwe ndg.
 
Yesu Asifiwe!!
Asalaam Aleykum!!

Ungana pamoja nami katika maombi maalumu ya kuiombea UKAWA ishinde
katika uchaguzi huu.
Ili CCM&watu wake washike adabu.
Tumechoka kuburuzwa.
Ungana nami
kila siku saa10-11 usiku/alfajiri.
Ubarikiwe!!

AMEN.Katika Jina La Yesu.Amen.
 
Wazo zuri sana mkuu. Tupambane kwa kila njia ukawa ishinde
 
Back
Top Bottom