Ungana na wenzetu wa ughaibuni: Huu ndo mpango wao wa kusaidia matibabu ya Lissu

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,326
1,314
Wanatamani Lissu ahamishwe kutoka Hospitali ya Nairobi na kupelekwa US kwa matibabu maalum (special medical care).

Ili kufanikisha hilo wameamua kuunda mpango wa fundraising maalum kwa ajili ya Lissu.

Hadi sasa kumechangwa dollar zaidi ya 2,000 na wachangiaji 52.

Changia kwa kutumia hii link hapa chini

Donate to Hon. TUNDU LISSU FUNDRAISING

Haya ni baadhi ya maneno yaliyopo kwenye hio link.

"Your contribution will make it possible to transfer Hon. Lissu from Nairobi hospital to United States of America for further medical care"

Tunakuomba Mungu usimame kwa ajili ya Lissu. Amen
 
Kwanini wakati wa kampeni 2015 zilipatikana mabilioni za kampeni na helicopters zilikodishwa kwa wingi kupasua anga za hapa nchini. Ni aibu kubwa kwa Chadema pamoja na kupokea mamilioni ya shilingi kama ruzuku kushindwa hata kukodi ndege ya kumpeleka Nairobi kufikia hatua mbunge wa ccm anatoa bond ya ndege kupatikana kumpeleka Tundu Lissu Nairobi. Huu ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe ajipime kama anaweza kuendelea kukiongoza chama hiki kikubwa cha upinzani.
Yanayofanyika kwa matibabu kwa Tundu Lissu ni aibu kubwa kwa uongozi mkuu wa Chadema
Mungu wa kushukuriwa kwa kuendelea kumponya afya njema Tundu Lissu.
 
Wauwaji nyie naona mnarukaruka kama maharage yanayochemka kwenye chungu
 
Kwanini wakati wa kampeni 2015 zilipatikana mabilioni za kampeni na helicopters zilikodishwa kwa wingi kupasua anga za hapa nchini. Ni aibu kubwa kwa Chadema pamoja na kupokea mamilioni ya shilingi kama ruzuku kushindwa hata kukodi ndege ya kumpeleka Nairobi kufikia hatua mbunge wa ccm anatoa bond ya ndege kupatikana kumpeleka Tundu Lissu Nairobi. Huu ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe ajipime kama anaweza kuendelea kukiongoza chama hiki kikubwa cha upinzani.
Yanayofanyika kwa matibabu kwa Tundu Lissu ni aibu kubwa kwa uongozi mkuu wa Chadema
Mungu wa kushukuriwa kwa kuendelea kumponya afya njema Tundu Lissu.
Umeshasema "wakati wa kampeni 2015" this is 2017, jua tu kuwa siku hazigandi, wa jana si wa leo
 
Kwanini wakati wa kampeni 2015 zilipatikana mabilioni za kampeni na helicopters zilikodishwa kwa wingi kupasua anga za hapa nchini. Ni aibu kubwa kwa Chadema pamoja na kupokea mamilioni ya shilingi kama ruzuku kushindwa hata kukodi ndege ya kumpeleka Nairobi kufikia hatua mbunge wa ccm anatoa bond ya ndege kupatikana kumpeleka Tundu Lissu Nairobi. Huu ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe ajipime kama anaweza kuendelea kukiongoza chama hiki kikubwa cha upinzani.
Yanayofanyika kwa matibabu kwa Tundu Lissu ni aibu kubwa kwa uongozi mkuu wa Chadema
Mungu wa kushukuriwa kwa kuendelea kumponya afya njema Tundu Lissu.
I can understand your concern. Upo au niseme mpo very desperate kwa sababu mmepokonywa tonge mkononi!!

Unatamani sana hiyo michango ingeendeshwa na serikali au kwa kupitia kibaraka wake bunge ili hatimae michango muipige!

Mnatamani hiyo michango muichangishe nyie kama ambavyo mlichangisha kwa niaba ya waathirika wa tetemeko kule Kagera lakini michango yote mkatia ndani!

Mnatamani hiyo michango muichangishe nyie kama ambavyo mlichangisha rambirambi za watoto wadogo kule Arusha lakini mwisho wa siku, bila aibu na yenyewe mkatia ndani!!!!

I aibu kama ilivyo aibu kwa taifa likishikiriana na rais wa nchi kupitisha michango wakati wa majanga na wakati mwingine misiba lakini michango hiyo inaishia kutumbuliwa na watu wa serikali!!
 
Wanatamani Lissu ahamishwe kutoka Hospitali ya Nairobi na kupelekwa US kwa matibabu maalum (special medical care).

Ili kufanikisha hilo wameamua kuunda mpango wa fundraising maalum kwa ajili ya Lissu.

Hadi sasa kumechangwa dollar zaidi ya 2,000 na wachangiaji 52.

Changia kwa kutumia hii link hapa chini

Donate to Hon. TUNDU LISSU FUNDRAISING

Haya ni baadhi ya maneno yaliyopo kwenye hio link.

"Your contribution will make it possible to transfer Hon. Lissu from Nairobi hospital to United States of America for further medical care"

Tunakuomba Mungu usimame kwa ajili ya Lissu. Amen
The same quality of medical care in, say India will cost ten times less than in the States. I know it first hand.

Please don't use US hospitals. The cost is prohibitive unless you get doctors and hospitals to donate their times, facilities and resources.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can understand your concern. Upo au niseme mpo very desperate kwa sababu mmepokonywa tonge mkononi!!

Unatamani sana hiyo michango ingeendeshwa na serikali au kwa kupitia kibaraka wake bunge ili hatimae michango muipige!

Mnatamani hiyo michango muichangishe nyie kama ambavyo mlichangisha kwa niaba ya waathirika wa tetemeko kule Kagera lakini michango yote mkatia ndani!

Mnatamani hiyo michango muichangishe nyie kama ambavyo mlichangisha rambirambi za watoto wadogo kule Arusha lakini mwisho wa siku, bila aibu na yenyewe mkatia ndani!!!!

I aibu kama ilivyo aibu kwa taifa likishikiriana na rais wa nchi kupitisha michango wakati wa majanga na wakati mwingine misiba lakini michango hiyo inaishia kutumbuliwa na watu wa serikali!!
Mkuu usinielewe vibaya wala sipendi kuingilia suala la michango. Je ni halali chama kikubwa cha upinzani Tanzania inashindwa kuwa hata na mfuko wa dharura pamoja na kupokea Ruzuku kubwa. Lawama hizi hata serikali nailamu kushindwa kumlipia Tundu Lissu kwani serikali pia imefanya makosa makubwa kushindwa kutoa pesa kwani leo kila kona ya Tanzania bila kujali itikadi yeyote wanamlilia Tundu Lissu.
 
Kwanini wakati wa kampeni 2015 zilipatikana mabilioni za kampeni na helicopters zilikodishwa kwa wingi kupasua anga za hapa nchini. Ni aibu kubwa kwa Chadema pamoja na kupokea mamilioni ya shilingi kama ruzuku kushindwa hata kukodi ndege ya kumpeleka Nairobi kufikia hatua mbunge wa ccm anatoa bond ya ndege kupatikana kumpeleka Tundu Lissu Nairobi. Huu ni wakati muafaka kwa Mwenyekiti Mbowe ajipime kama anaweza kuendelea kukiongoza chama hiki kikubwa cha upinzani.
Yanayofanyika kwa matibabu kwa Tundu Lissu ni aibu kubwa kwa uongozi mkuu wa Chadema
Mungu wa kushukuriwa kwa kuendelea kumponya afya njema Tundu Lissu.
Mh. Tundu Lisu ndo awe mwenyekiti wa CHADEMA na apite bila kupingwa kuwa mgombea urais 2020. Hii itaimarisha upinzani to another level
 
Back
Top Bottom