Huyo mume atakuwa na anasumbuliwa na ugonjwa unaojulikana kitaalamu kama... Kitombicssana ambao unasababishwa na vijidudu wajulikanao kitaalamu kama Nyegelundopacs. Ugonjwa huo unashambulia sana wanaume wenye umri na kipato cha kati na kipato cha juu. Hasa wale wenye elimu zao, nyumba zao, wake zao (tena wenye kazi/kipato) na pesa zao ndo zinawapa jeuri.<br />
Kapuku ni nadra kuugua ugonjwa huu. <br />
<br />
Dk. Mwendabure!