Unga wa mahindi/mahindi yanauzwa

Unga wa mahindi/mahindi yanauzwa

KASHAMBURITA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2021
Posts
206
Reaction score
659
Habari za wakati huu …

Mimi n mkulima mdogo mdogo nimefanikiwa kuvun mahindi tani kumi katika mkoa wa tanga na kufanikiwa kusafirisha dar es salaam nipo hapa kutafuta mteja wa mahindi au kama inawezekana mteja wa unga mana nina uwezekano wa kuyasaga….wako katika ujenzi wa taifa
 
Back
Top Bottom