Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

Hata kukiwa na sumaku bado chembechembe za chuma zitaingia tu ktk unga na hiyo sumaku pia inapopigwa na unga unapozunguka ndani ya mashine inalika pia
 
Hata kukiwa na sumaku bado chembechembe za chuma zitaingia tu ktk unga na hiyo sumaku pia inapopigwa na unga unapozunguka ndani ya mashine inalika pia
mkuu lakm hzo chembe chembe si zmesagika, about small partcl kama unga?

Samahan je haiwez kumeng'enywa ikaongeza Madini ya iron mwilini?
 
Madini ya iron yanapatikana ktk chumvi tu na siyo iron hivi vyuma vya kuchomelea nk
mkuu lakm hzo chembe chembe si zmesagika, about small partcl kama unga?

Samahan je haiwez kumeng'enywa ikaongeza Madini ya iron mwilini?
 
Unapopeleka mahindi yasagwe kwa ajili ya matumizi yako ya nyumbani ukakuta mashine imeharibika mhusika anakwambia ngoja mashine itengenezwe ktk kufungua mashine unashuhudia kuna machujio ya chuma yamelika yametoboka na mengine yaliungwa siku za nyuma yamelika.

Swali particles (chembechembe ) za hivi vyuma vilivyolika na kutoboka zinaenda wapi?
Hata kijiko unachotumia kula kinaisha,jiulize hizo particles za vyuma huenda wapi?Piga ugali mkuu kufa kupo tu.
 
IMG_4516.JPG
 
Mungu ametuumba tuje duniani tumwabudu yeye tuu akatupa na vyakula vya kila aina lazima tule chakula cha mwili kilicho safi na bora kutoa uzi huu ni kuchangia mawazo nini labda kifanyike kuondoa tatizo hili ktk vinu vya kusagia nafaka
Yana watu wanavohangaika na maisha utadhan Yana last forever!
Kumbe binadam tumepewa ki portion tu Cha muda wa kuwepo duniani
 
Hata kinu na mchi vinalika pia. Kubwa na mhm ni kutokutumia chakula cha aina moja na mara kwa mara i.e tuwe na kiasi. Kuna watu mihogo na viazi vitamu vimewapa kisukari maana walikuwa wanavitumia in exces! Digestion system pia hukataa baadhi ya vitu na kuvigeuza refusal na hivyo kupunguza madhara. Mabigwa wa guines hula pin hata mia tano, bt hubaki salama!
 
Kuna profesa alikuwa anahojiwa clouds 360 akasema ukila dona(mahindi yasiyokobolewa) ndio hatari kabsa kwa afya,yani ukiwasikiliza hawa watalaam wa lishe unaweza usile chochote
 
Kula ugali mkuu umri wa kuishi ni miaka 70 tu
Nothing lasts forever
Black And White! Watu Tunataka Kuishi Milele? Side Effects Zitajitokeza Baada Ya Wewe Kuwa Mzee, Kama Utajaliwa Maana:
1. Bodaboda
2. Vibaka
3. Malaria
4. Ngoma
5. Dengue
6. Sheli(BP)
7. Sukari
8. Ongeza Yako

Zote hizo Zitatumaliza.
 
Hatari Sana mkuu hakuna chakula kilicho salama Kama kinapitia kiwandani mkuu , mchele wenyewe unapitia huko huko kwenye mashine, ukichunguza Sana utakua unakula mihogo tuu, lakoni hata hiyo mihogo umeshawahi jiuliza kwa nn kisu kinachomenyea and kinaisha makali ule ubutu unasabishwa na nn, ni kumuomba tu mungu mkuu atuepushe na athali ya hivyo vitu
Mwambie Ale Ugali, Akianza Kutafuta Bata Kala Nini, Atatapika!
 
Back
Top Bottom