Ni upumbavu kuweka kitu cha Google hapa! ni kiwango gani cha hiyo sumu ndo kinakuwa na madhara kwa binadam, namaanisha katika kipimo cha ppm?Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Aliyekufundisha kakupoteza kabisa, na kama umetumwa kamwambie amechemsha!Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Haitakiwi kuzidi 20ppmNi upumbavu kuweka kitu cha Google hapa! ni kiwango gani cha hiyo sumu ndo kinakuwa na madhara kwa binadam, namaanisha katika kipimo cha ppm?
Teheeee we jamaa mgovi weweMtoa mada una duka la sembe wewe sio bure.
Jipange tena sio kutudanganya kiivyo.
Soma "post" ya Mr Mtui uelimike na si swuala la "google". Tunaelimishana na wala siyo siasa wala udakuNi upumbavu kuweka kitu cha Google hapa! ni kiwango gani cha hiyo sumu ndo kinakuwa na madhara kwa binadam, namaanisha katika kipimo cha ppm?
Najua wewe si mwehu,wala Juha,Huenda labda ulichanganyiwa kiroba udanganye watu hapa,Hivi kwa sisi hapa namanyere tunaolima mahindi wenyewe hiyo sumu inatokea wapi,na je vipi kwa wanaoosha mahindi kabla ya kukoboa?Na utafiti wako hmefanyia wapi?
Kabla sijakuuliza maswali Mengi...
Kwanza Hongera kwa POST NZURI...
Pili..hiyo sumu unajua inakaa muda gani kwenye mahindi?
Tatu Kwani ni mahindi yooote yanawekewa hiyo Dawa,all sources?
Nne yaani hiyo dawa inakaa kwenye Kiini tuuuuu?
Tano Je ni madawa yote kwa mimea ni hatari? mbona binadamu tunatumia "Superflaxon"
Sita...ni Kiwango gani ndo kinadhuru?
Ahsante Mkuu
Mimi mtoa mada nasubiri kwa hamu utafiti wako. Ni suala linalogusa afya na kwa jinsi ugonjwa wa kansa (km matiti, tezi,nk) ulivyo juu hapa nchini, ni vizuri kuwa na uhakika wa kiwango cha hiyo sumu na madhara yake. Kwangu bado ni tetesi, imenigusa.Nimesoma post zote zioni ushahidi wa utafiti wa kueleweka.
After one month nitakuja na majibu ya hili baada ya kuingia maabara mwenyewe.
Ni wachache watakaokuelewa mkuu. Tatizo letu watu weusi ni wavivu sanaWatu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Kuna watu mind zenu ni used?ndio mbinu mpya ya ccm hiyo