Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Ukawa msibishebishe tuuh kila kitu,Taifa linamuhitaji Mnyika Bungeni ila tatizo watu wa kibamba wanaona hajafanya mambo ya maana jimboni kwake 2010-2015
hivi alikua mbunge wa Kibamba?
Ukawa msibishebishe tuuh kila kitu,Taifa linamuhitaji Mnyika Bungeni ila tatizo watu wa kibamba wanaona hajafanya mambo ya maana jimboni kwake 2010-2015
wataje waliohongwa hapa tuone kama unajua ukisemacho
hebu tutajie kwanza waliohongwa na Mnyiks tuanzie kwako.
Kwani Mnyika aliwafanyia nini watu wa Kibamba hapo kabla ya 2010 kabla hajawa mbunge lakini bado wakamwamini na kumpa kura nyingi za Ubunge mwaka 2010?Ukawa msibishebishe tuuh kila kitu,Taifa linamuhitaji Mnyika Bungeni ila tatizo watu wa kibamba wanaona hajafanya mambo ya maana jimboni kwake 2010-2015
wewe hujui kazi ya mbunge. Mbunge hana budget. Anapeleka malalamiko kwa serikali ambayo ni ya ccm.nimezunguka kata zote za jimbo la kibamba nikianzia kata za jimbo la ubungo, na niliowauliza si wana ccm bali ni vijana tu wa kawaida wa mtaani hasa machinga na bodaboda. mnyika alitoa ahadi tamu na hakuna alichofanya tukianzia na maji kutatua shida zake ndani ya siku 100 kule kibamba, umeme kule kibamba. na kule kibamba ndo hawamtaki kabisa hata wakamfukuza kwenye uzinduzi wa shule iliyojengwa na wananchi baada ya kuwaahidi kuwasaidia na kuingia mitini hadi kipindi cha kuomba kura.
Mbona Mimi sijapata? Ila fenera anawapa wamama wa ccm tu, sisi wengine anaturuka, inashangaza unapigania kuhonga kura ambayo una uhakika nayo nakuwapuuza ambao hujui kama watakupa ni akili Ndogo sana.
Hahaha bora unga kuliko wale waccm waliogawa viberiti
kevoo_keroo wacha urongo. mimi ni mkazi wa kibamba na mnyika hajawahi kuja kwangu na unga wala elfu kumi na tano isipokuwa wamekuja ccm kuanzia katibu mwenezi, mwenyekiti wa uwt na wa uvccm pamoja na wajumbe wa halmashauri ya mkoa wakigawa kofia na tisheti na sukari na kanga na madera. mimi niliwafungulia mbwa mara mbili na matokeo yake wamegonga uzio wangu wakati wakikimbia. usimsingizie mnyika kwani hana haja ya kuhonga kwa kuwa kura zote za wana kibamba ni zake.
Ni kwel kbsa hata sie nyumban kwetu tumepata.. Nimestuka kura yang kwa magufuli mapema sana 25. 10
Upo Kibamba ipi? Ndugu yenu kufikia hatua ya kugawa unga kwa kigezo cha kuomba kura ni aibu!!
kenge mkubwa we lowassa n rais wako
kirikou wa kwanza aibu ni kwa ccm na wapambe wenu kuomba kura kwa kugawa unga na fulana na kofia..ni aibu kubwa zaidi