Nendeni na nyinyi mkahonge tshirt na kofia zenu za CCM.
mafisiem mnamezea mate sana hilo jimbo la Ubungo.
hampati kitu hapo.
Mnyika anasubiria kuapishwa kuwakilisha Jimbo hilo kupitia UKAWA.
Hamna chenu hapo.
ahahhaahha. Alale muibe kura siyo[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji23]akalale sasa anahangaika nini kama ansubiri kuapishwa?
mafisiem mnamezea mate sana hilo jimbo la Ubungo.
hampati kitu hapo.
Mnyika anasubiria kuapishwa kuwakilisha Jimbo hilo kupitia UKAWA.
Hamna chenu hapo.
Kwa hiyo Kibamba kuna watu Wana shida ya Unga! Hadi wapewe Na Mnyika badala ya ofisi ya Maafa. Au Kibamba kuna njaa. Mwanzisha Uzi kawadhalilisha wananchi Wa Kibamba.nani kahongwa? wataje hapa
Mnyika mbunge wetu hakuna WA kumtoa hizo swaga za ccm huku mmeshindwa