Unga, pesa zatumika kuombea kura ndani ya jimbo la Kibamba

Unga, pesa zatumika kuombea kura ndani ya jimbo la Kibamba

Kevoo_keroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
771
Reaction score
163
Hiki ni kituko cha mwaka tena kutoka kwa mtu anayejionesha kuwa ni mwaminifu na mlalamikaji maarufu nchini, John Mnyika, mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Kibamba.

Mnyika huwa anatumia nyakati za usiku kupita katika maeneo tofauti nyumba hadi nyumba kugawa unga wa kupikia kwa wananchi ili wampe kura za ubunge ndani ya jimbo la Kibamba, hiyo haitoshi amewaahidi kila mpiga kura shilingi elfu kumi na tano hadi shilingi elfu ishirini ili wampe kura yeye na mgombea urais wa CHADEMA.

Hiyo imekuwa rahisi kwake mnyika baada ya kuamua kupanga nyumba pale Mbezi karibia na shule ya sekondari ya Mbezi high school kwa ajili ya kufanya kampeni zake .
 
Mwaka kuna njaa kali hasa huku mikoani afafhari huyo kuliko CcM wanaogawa chumvi bila kukupa mboga sijui utaunga nini !!!?
 
Mwaka kuna njaa kali hasa huku mikoani afadhari huyo kuliko CcM wanaogawa chumvi bila kukupa mboga sijui utaunga nini !!!?
 
CCM mnagawa vibiriti bila mkaa wala kuni!!!

Dawa kiburi ni jeuri!!!
 
kama hamuamini nendeni kata ya msigani maeneo ya mbezi
 
Mnyika ni bonge ya msanii, kwani anadhani watu hawamjui? Anafikiri kunyatia usiku hataonekana? Haya sasa kaumbuka OFM wamemnasa akiendelea na hizo fitna. Awe tayari kuacha mara moja tabia hiyo, na jimbo hilo hana chake, ni heri angebaki Ubungo angeweza kubebwa na wanachuo ambo ndiyo shina lake na siri yake ya mafaniko aliyopata miaka iliyopita. Wanachuo wa mwaka huu hawana mpango na janja hiyo ya Mnyika. Atagaragazwa mwaka huu, bunge atafuatilia kupitia runinga yake huko mbezi.
 
yan chadema wanatia aibu pia wanatushangaza sna sisi wananchi wa kibamba, embu ajaribu kuja hapa gogoni aone tutakavyomtimua kama mbwa mwizi
 
Ni kweli mnyika hana sifa. Yakuendelea kuwa mmbunge wa jimbo la kibamba kwa kuwa ni msanii,wanafunzi wa udsm waliokuwa wanamsaidia hawapo tena,hana chake
 
Ukitaka kupata umaarufu JF njo anzisha uzi kuhusu Mnyika, Lema, Mdee, Mbowe,, zito etc
 
Mgombea ubunge wa jimbo la kibamba kupitia ukawa john MNyika ameanza kuhaha kutafuta hiruma ya wanakibamba kwa kuwa ameshindwa kuwaletea maendeleo katika kipindi cha miaka yote aliyokuwa mbunge wa ubungo,hafai kuwa mbunge,akapige propaganda zake huko ukawa,kibamba hatumtaki
 
kevoo_keroo wacha urongo. mimi ni mkazi wa kibamba na mnyika hajawahi kuja kwangu na unga wala elfu kumi na tano isipokuwa wamekuja ccm kuanzia katibu mwenezi, mwenyekiti wa uwt na wa uvccm pamoja na wajumbe wa halmashauri ya mkoa wakigawa kofia na tisheti na sukari na kanga na madera. mimi niliwafungulia mbwa mara mbili na matokeo yake wamegonga uzio wangu wakati wakikimbia. usimsingizie mnyika kwani hana haja ya kuhonga kwa kuwa kura zote za wana kibamba ni zake.
Hiki ni kituko cha mwaka tena kutoka kwa mtu anayejionesha kuwa ni mwaminifu na mlalamikaji maarufu nchini, John Mnyika, mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Kibamba.

Mnyika huwa anatumia nyakati za usiku kupita katika maeneo tofauti nyumba hadi nyumba kugawa unga wa kupikia kwa wananchi ili wampe kura za ubunge ndani ya jimbo la Kibamba, hiyo haitoshi amewaahidi kila mpiga kura shilingi elfu kumi na tano hadi shilingi elfu ishirini ili wampe kura yeye na mgombea urais wa CHADEMA.

Hiyo imekuwa rahisi kwake mnyika baada ya kuamua kupanga nyumba pale Mbezi karibia na shule ya sekondari ya Mbezi high school kwa ajili ya kufanya kampeni zake .
 
chadema usanii utawaisha lini? sisi bodaboda wa hapa kiluvya madukani hatutaki hata kumckia kashindwa ubungo hatatuweza cc wa kibamba? embu mpishe mama Fenela apite
 
Hiki ni kituko cha mwaka tena kutoka kwa mtu anayejionesha kuwa ni mwaminifu na mlalamikaji maarufu nchini, John Mnyika, mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Kibamba.

Mnyika huwa anatumia nyakati za usiku kupita katika maeneo tofauti nyumba hadi nyumba kugawa unga wa kupikia kwa wananchi ili wampe kura za ubunge ndani ya jimbo la Kibamba, hiyo haitoshi amewaahidi kila mpiga kura shilingi elfu kumi na tano hadi shilingi elfu ishirini ili wampe kura yeye na mgombea urais wa CHADEMA.

Hiyo imekuwa rahisi kwake mnyika baada ya kuamua kupanga nyumba pale Mbezi karibia na shule ya sekondari ya Mbezi high school kwa ajili ya kufanya kampeni zake .

Unataka kunyolewa vuzi wewe.
 
Ukitaka kupata umaarufu JF njo anzisha uzi kuhusu Mnyika, Lema, Mdee, Mbowe,, zito etc

It is true. absolute truth kwa sababu kinachosemwa na kinachopendelea ni tofauti. Mgombea anayetetewa kwa nguvu zote hata akipewa Jimbo kwa miaka 100 sina hakika kama atabadili kitu. Hizi PhD hizi msipoangalia zitarudisha maisha nyuma miaka 100.
 
nimezunguka kata zote za jimbo la kibamba nikianzia kata za jimbo la ubungo, na niliowauliza si wana ccm bali ni vijana tu wa kawaida wa mtaani hasa machinga na bodaboda. mnyika alitoa ahadi tamu na hakuna alichofanya tukianzia na maji kutatua shida zake ndani ya siku 100 kule kibamba, umeme kule kibamba. na kule kibamba ndo hawamtaki kabisa hata wakamfukuza kwenye uzinduzi wa shule iliyojengwa na wananchi baada ya kuwaahidi kuwasaidia na kuingia mitini hadi kipindi cha kuomba kura.
 
Nendeni na nyinyi mkahonge tshirt na kofia zenu za CCM.
 
Back
Top Bottom