santana delux man
Member
- Dec 4, 2017
- 15
- 12
Tunaomba serikali itekeleze mambo yafuatayo 2018
1.Mimba iwe miezi minne baada ya miez 9 maana wamechoka kubeba
2.vocha ziuzwe mia 4 na mia 9 ili tupate mia za kukwangulia

3.chumvi itolewe bure sukari iuzwe

4.nauli ya ndege kwenda south iwe bure manaake ni mteremko
5.sukuma wiki ichunguzwe kwann haiwezi sukuma mwezi

6.kuwepo na form za kwenda jela

7.Siku za mwizi walau ziwe 90 maana uchumi umebana
8.nakujaaaaaa