Sasa unafikiri kuwa na wewe ni mmoja wa hao "wenye akili"?
Mimi siamini Ph.D. za hao wanaoziokota mitaani, na wala sihoji hiyo ya Ruto ya maswala ya kilimo; kwa sababu najuwa maana halisi ya Ph.D. ni nini.
Lakini hilo halihusiani chochote na "kumwamini" mtu kwa anayoyasema.
Ph.D. haina maana ya kuaminika.