UNGA General Meeting Mugabe anaongea mda huu

UNGA General Meeting Mugabe anaongea mda huu

Kaaazeka anashindwa hata kutembea
 
Huyu mwamba January sijui February mwaka jana kwenye mkutano wa 30 wa Au alitema cheche niliipenda hotuba yake ilikuwa bora kabisa


Nadhani leo hatoniangusha subiri nimcheki master wa speech


Ana speech tamu sana huyu mzee,
 
kama kawaida mzee hamung'unyi maneno, kaitetea sahara magharibi na kaisema serikali ya USA kwa kujitoa katika suala la Paris kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa na kimazingira
 
Back
Top Bottom