Unfortunately Google play store has stopped,natatuaje tatizo hili?

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,544
Wakuu habari,

Kila nikifungua play store,Facebook, email,Browser nk,naandikiwa Maneno hayo.
Nimesha restore sim Mara kadhaa lakini tatzo bado lipo pale pale.

Msaada wakuu.
 
Njia ya kwanza
Nenda setting
Tafuta sehemu ya apps/Applications
Baada ya hapo bonyenza, itakuletea Downloaded apps, Running apps and all,
Nenda hapo kwenye "all" kwa njia ya kuslide simu yako,
Alafu tafuta app ya google play store services, bonyenyeza, itakuletea FORCE STOP, clear data,
Sasa hapo anza kuclear data zote, baada ya kumaliza kuclear, Bonyeza FORCE STOP, kuna maneno itakuletea then click OK, baada ya apo Restat your phone.

Suluhisho lako litakuwa kwisha kabisa.
 
Ahsante mkuu ngoja nijaribu
 
Mkuu tatizo limejirudia tena
 
Kama bado linajirudia, fb lite na whatsapp zifute hzo mbili then fuata zile process za hapo juu, au hapo kuna FORCE SROP, UNINSTALL updates pamoja na GO TO APP
Then clear data baada ya hapo Force stop, kuna mabeno itakuletea utabonyeza OK.

Baada ya hapo nenda kwenye menyu ya simu tafuta icon ya Google play store, bonyeza itakupeleka moja kwa moja kule ampako huwa tuana pakua apps, baada ya hapo bonyeza vishale vitatu upande wa kushoto hapo juu itafunguka pale, itakuletea maneno kadhaa tafuta sehemu palipo andikwa SETTING then bonyeza kuna maneno itakuletea hapo tafuta sehemu iliyo andikwa AUTO APDATES then bonyeza hapo pia itakuletea ICON tatu za kujaza kwa dot, hapo sasa weka hyo doti weka kwenye UPDATE OVER Wi-Fi only. Then ludi nyuma tafuta sehemu iliyo andikwa PARENTAL CONTROL pia nayo iweke OFF

Baada ya kumaliza zote hzo process anza sasa kudownlaod hzo apps either iwe whatsapp, fb lite na kuendelea, ukifuata hzo proces tatizo litaisha.
 
Mda mwingine haikupi nafasi ya kwenda setting koz inaomekana mfululizo.
 
Me nadhani kweny hlo tatizo Gmail haiko sign in...Cha kufanya ingia setting nenda account choose google halafu click email yko kisha bonyez hz dot : at the upper right conner remove account kisha sign in upya ikizingua tena tafuta suluhisho lingine
 
Njia ya kwanza
Nenda setting
Tafuta sehemu ya apps/Applications
Baada ya hapo bonyenza, itakuletea Downloaded apps, Running apps and all,
Nenda hapo kwenye "all" kwa njia ya kuslide simu yako,
Alafu tafuta app ya google play store services, bonyenyeza, itakuletea FORCE STOP, clear data,
Sasa hapo anza kuclear data zote, baada ya kumaliza kuclear, Bonyeza FORCE STOP, kuna maneno itakuletea then click OK, baada ya apo Restat your phone.

Suluhisho lako litakuwa kwisha kabisa.
Fanyia kazi hii ndio njia sahihi.
 
Kama bado linajirudia, fb lite na whatsapp zifute hzo mbili then fuata zile process za hapo juu, au hapo kuna FORCE SROP, UNINSTALL updates pamoja na GO TO APP
Then clear data baada ya hapo Force stop, kuna mabeno itakuletea utabonyeza OK.

Baada ya hapo nenda kwenye menyu ya simu tafuta icon ya Google play store, bonyeza itakupeleka moja kwa moja kule ampako huwa tuana pakua apps, baada ya hapo bonyeza vishale vitatu upande wa kushoto hapo juu itafunguka pale, itakuletea maneno kadhaa tafuta sehemu palipo andikwa SETTING then bonyeza kuna maneno itakuletea hapo tafuta sehemu iliyo andikwa AUTO APDATES then bonyeza hapo pia itakuletea ICON tatu za kujaza kwa dot, hapo sasa weka hyo doti weka kwenye UPDATE OVER Wi-Fi only. Then ludi nyuma tafuta sehemu iliyo andikwa PARENTAL CONTROL pia nayo iweke OFF

Baada ya kumaliza zote hzo process anza sasa kudownlaod hzo apps either iwe whatsapp, fb lite na kuendelea, ukifuata hzo proces tatizo litaisha.
Mkuu shukran nimefanikiwa
 
Back
Top Bottom