Habari wana JF,
Naomba mwenye solution ya hii kitu ya apps ku stop na kuandika kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Apps zenyewe ni
Adobe air
Measure
Android systeam
Com.android....
Na nyingine ambazo huwa hazitokei mara kwa mara.
Ikishatokea hivi simu inaweza kustack hadi utoe battery na kuiwasha upya.
Naomba kuwasilisha...
Ndugu mimi nilifanya hivi nikafanikiwa. Sasa hebu na wewe jaribu.
ingia SETTING kisha ingia STORAGE. Kisha fungua All apps(..........................) utaona orodha ya apps zote zilizo kwenye simu yako pamoja na android systeam mbalimbali. Cha kufanya angalia kama utaona some virus anaitwa kitu kama nsb.superuser . uninstall hiyo kitu au idisable. arafu angalia time service then fanya kudisable zote. arafu android systeam zote zidisable ila google service iache kama ilivyo usiiguse. fanya hivyo ndugu kisha zima simu arafu washa. jaribu hiyo tuone kama itasaidia maana mimi simu sasa hivi iko fresh kabisaaaaa jaribu na wewe