Unforgotten event katika love

Unforgotten event katika love

Hmmmm. Never say Never young man.
Hahaha dah! pole arif. Miezi 6 unamfuatilia Manzi? chickity-check your game bro. Sijawahi wala sitawahi kumtokea Manzi zaidi ya mara moja, i always score when i shoot, freethrows or 3s, never a problem.
 
Tukiwaambia wa mikoani washamba mnatokwa povu!

Ni kweli kabisa inawezekana nikawa mshamba lakin ujaspecify unajua hata ukishindwa kutaja vocabulary moja wew ni mshamba pia.... Si Kila relation iliandikwa i last longer zingine unapita kama warm up test au mirdterm test ili ufanye vizuri necta ya ndogo
 
basi huto tumajibu twa kike af unavyooneka upo hivi
..Mwembamba kiasi,mweupe wa kawaida,towngirl sana,umeshawahi kuachwa na boyfriends wa3,boyfriend wako m1 ulimtakia wewe kuwa unampenda yani ulimtongoza,,niendelee?,ngoja niwaachie wabashiri kama mimi wakumalizie
 
Mie rangi adimu wewe!! Huyo mmoja kidooogo ungepatia, sikumtamkia ila hatukutongozana and ndio alikuwa the love of ma life(teh teh teh)
Kuhusu kuachwa duuuuh hata sikumbuki ila nadhani mara moja hiviii, na "kuacha" ndio hata idadi siikumbuki, town girl ndio nini?
 
Oh!! Just a manzi and not a woman, alright.....

Hamjapenda bado ila huwa mnawatamani tu......if its love only happen to one person and needing to make her a life partner eventually without any force you will fight for your love.

Haswaa .. Love is Blind.. love is Patient. Love is just Love .. Thanks ..
 
Mie rangi adimu wewe!! Huyo mmoja kidooogo ungepatia, sikumtamkia ila hatukutongozana and ndio alikuwa the love of ma life(teh teh teh)
Kuhusu kuachwa duuuuh hata sikumbuki ila nadhani mara moja hiviii, na "kuacha" ndio hata idadi siikumbuki, town girl ndio nini?

ha ha!,upo mkoa gani?
 
Is that so? Hmmmmm. Lmfao.

images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom