Dah sitakaa nisahau nilikuwa na kidemu changu to form three sasa kimemaliza shule kikaenda dsm bhana kimerudi kinajua kutumia fb na internet kwenye laptop nikimpigia usiku lol naambiwa nimechoka nicheki kesho.Siku moja nikaliamsha saa ngapi nisipigwe za uso nakumbuka niliambiwa Nikufanye Nin Urithike wew Mwanaume alafu she was Only 17 mim nilikuwa 18 Lahaula nikasema basi sawa nikakubali tunda lichukuliwe tu nikawaachie watoto wa DSM nikaendelea na kuzisaka mim mpk kesho sijapenda tena
hahahaha shati la viscos na suruali ya Mr Dior ukipiga jeans itakuwa ni Savco, Lee au Live ...raba kali ni Edwin yenye kuwasha vitaa kwenye soli...mikito ya kijanja FUBU, FoX, Mike Jordan n.k ..... musicwise Shaba Rank, MC Hammer , Madonna, MJ wacko jaco, DDC m-park, Sikinde nk...old is goldUmeonaee!!!! enzi izo, hakukuwa na kuvalia suruali chini ya matako, mlikuwa mnapiga kitu shati la uji uji na suruali mchele mchele ndio mtoko hapo, loh!!!!!!! tumetoka mbali.
Hahaha, i love women, so i can't front that i never fall in love. Thing is, I'm a chase myself, and since game always recognize game, kufukuzia itabaki rumors tu kwangu.
Mkuu ulikuwa unafuatilia mafao nini ya kiinua mgongo....unakomaa na mtu muda wote huo?
hahahaha shati la viscos na suruali ya Mr Dior ukipiga jeans itakuwa ni Savco, Lee au Live ...raba kali ni Edwin yenye kuwasha vitaa kwenye soli...mikito ya kijanja FUBU, FoX, Mike Jordan n.k ..... musicwise Shaba Rank, MC Hammer , Madonna, MJ wacko jaco, DDC m-park, Sikinde nk...old is gold
Lucky guy, hujapenda bado. Ukipenda utadekishwa na kuosha vyombo kama zuzuHahaha, i love women, so i can't front that i never fall in love. Thing is, I'm a chase myself, and since game always recognize game, kufukuzia itabaki rumors tu kwangu.
Mmh.....too good to be true
ha ha! kipind demu yupo dar wewe ulikuwa wapi?
mademu ndo walivyo yani hawana huruma sijui wameumbwaje wapo ku-cheat tu wenzao sijui hata wanachojivunia
Dah sitakaa nisahau nilikuwa na kidemu changu to form three sasa kimemaliza shule kikaenda dsm bhana kimerudi kinajua kutumia fb na internet kwenye laptop nikimpigia usiku lol naambiwa nimechoka nicheki kesho.Siku moja nikaliamsha saa ngapi nisipigwe za uso nakumbuka niliambiwa Nikufanye Nin Urithike wew Mwanaume alafu she was Only 17 mim nilikuwa 18 Lahaula nikasema basi sawa nikakubali tunda lichukuliwe tu nikawaachie watoto wa DSM nikaendelea na kuzisaka mim mpk kesho sijapenda tena
Lucky guy, hujapenda bado. Ukipenda utadekishwa na kuosha vyombo kama zuzu
kwanza sema we jinsia gani atoto?