Unforgotten event katika love

Unforgotten event katika love

King snr

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
1,165
Reaction score
1,474
Katika mapenzi kuna wakati mgumu sana huwa tunapitia hadi kumpata mwenye upendo wa dhati,sijui kama yamekukuta ila mimi yalinikuta haya.

Wakati nipo o-level Songea nilitokea kumpenda sana binti mmoja hivi wa kishua nikamtokea akawa ananizungusha tu hanipi jibu la kueleweka kama si upendo wangu basi ningeshampotezea ila ilinilazimu kuendelea kumfatilia, nilimfatilia karibia miezi 6 bila kukata tamaa,siku 1 mida ya saa 1 jioni nilikutana nae.

Cha ajabu alionyesha kutaka kuongea nami tofauti na kawaida akaanza kuongea kwa upole sana 'sorry king najua ni mda mref ulionyesha nia ya kutaka kuwa nami ila niliogopa coz sikujua tabia zako ila hata mimi nakupenda sana na siwezi kuishi bila wewe samahani King naomba usije ukanisaliti'.

Nilishtushwa sana na maneno yake nikajisikia faraja sana akaniambia kesho yake niende kwao kuna zawad kaniandalia,kufika kwao simkuti naambiwa kasafiri kaenda Dar na harudi tena wazazi wake wamehamishiwa huko kikazi,dah nilichoka sana nilijiuliza zawadi yenyewe ndo hii au?

Wadada kuweni na huruma
 
Hahaha dah! pole arif. Miezi 6 unamfuatilia Manzi? chickity-check your game bro. Sijawahi wala sitawahi kumtokea Manzi zaidi ya mara moja, i always score when i shoot, freethrows or 3s, never a problem.
 
I dead am.

Sijawahi. Huwa sifanyi random moves na sitongozi, i just be-friend them, they find out what i'm about, then i just dance to the tunes Bro. So easy

Hata ulipokuwa teenager?! coz hata mimi sasa hivi sipigwi kibuti kwasababu nafanya hivyo ufanyavyo nikiona tu dalili za kuwa hana interest nabadili uelekeo.
 
hata ulipokuwa teenager?! coz hata mimi sasa hivi sipigwi kibuti kwasababu nafanya hivyo ufanyavyo nikiona tu dalili za kuwa hana interest nabadili uelekeo.

Huko ndio ilikuwa rahisi kinoma, nilikuwa man-google ya muziki, movies, soka na kikapu, + nilikuwa na-rap ngoma karibu zote za mbele. So washkaji skuli walikuwa wananipa heshima flani, na ma-dame kumbe wakawa wana-notice, so wanakuja tu. Bahati mbaya au nzuri nilikuwa innocent balaa, never utilised that.
 
Hahaha dah! pole arif. Miezi 6 unamfuatilia Manzi? chickity-check your game bro. Sijawahi wala sitawahi kumtokea Manzi zaidi ya mara moja, i always score when i shoot, freethrows or 3s, never a problem.
Oh!! Just a manzi and not a woman, alright.....
I dead am.

Sijawahi. Huwa sifanyi random moves na sitongozi, i just be-friend them, they find out what i'm about, then i just dance to the tunes Bro. So easy

hata ulipokuwa teenager?! coz hata mimi sasa hivi sipigwi kibuti kwasababu nafanya hivyo ufanyavyo nikiona tu dalili za kuwa hana interest nabadili uelekeo.

Hamjapenda bado ila huwa mnawatamani tu......if its love only happen to one person and needing to make her a life partner eventually without any force you will fight for your love.
 
Yax bro. ukipenda kweli lazima u-fight ili umpate ila ukitamani unaenda mara moja tu akizingua unapoteza tofauti na ukipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom