ukitumia ucweb kwenye speed mode inamaana ina activate proxy, hivyo itategemea na hio proxy ipo wapi, mfano ipo mexico basi uki login kwenye email watatuma warning kuwa kuna mtu yupo mexico amelogin kwenye account yako. same kwenye vpn ni hivyo hivyo.
kwanini usidownload app za email ukaeka email zako zote na kuepuka kulogin kwenye browser kila mara?