ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
na hao wanaume wa siku hizi mna mapenzi ya kusaidia wake zenu magoal keeper kwa moyo? mbona wanaume naona wanatafuta tu wamama wanaojiweza....watu ni wabinafsi kweli siku hizi kwa pande zoteMhhh touching story ila ladyfurahia haya mambo sidhani hawa wadada wa kidigital watakubaliana na haya mambo ya kuoana na mwanaume goal keeper ambaye hajui ni lini atapata kazi
Na kweli kwa upande mwingine kulikuwa na true love between the guy and the lady maana kufikia kutoa mshahara wake kumpa mwanaume akae nao wakati anajua kuwa he can still use the money kwenye ufuska kama angeamua was hard decision
Ila swali wapo kama hao kwa kizazi hiki cha digital hebu grafani11 na HorsePower na mwalimu wangu gfsonwin waniambie na kaka SnowBall na Bishanga na Asprin waseme hapa
Mkuu ni sawasawa kwa wakati huu tulionao kumpata mwanamke wa aina hiyo ni sawa na kuokota embe dodo chini ya mti wa mpera. Kuna wakati mmoja mdada (jina limehifadhiwa) alileta uzi akilalamikia mwanaume wake kumtegemea yeye kwa manunuzi ya vitu vingi vya nyumbani.Mhhh touching story ila ladyfurahia haya mambo sidhani hawa wadada wa kidigital watakubaliana na haya mambo ya kuoana na mwanaume goal keeper ambaye hajui ni lini atapata kazi
Na kweli kwa upande mwingine kulikuwa na true love between the guy and the lady maana kufikia kutoa mshahara wake kumpa mwanaume akae nao wakati anajua kuwa he can still use the money kwenye ufuska kama angeamua was hard decision
Ila swali wapo kama hao kwa kizazi hiki cha digital hebu grafani11 na HorsePower na mwalimu wangu gfsonwin waniambie na kaka SnowBall na Bishanga na Asprin waseme hapa
Smile ukikaa nyumba ya vioo usikubali watoto warushe mawe kwakona hao wanaume wa siku hizi mna mapenzi ya kusaidia wake zenu magoal keeper kwa moyo? mbona wanaume naona wanatafuta tu wamama wanaojiweza....watu ni wabinafsi kweli siku hizi kwa pande zote
Kumbe Heaven on Earth una pacha wako, mbona hatutambulishani wangu? Au unasubiri mpaka ajali itokee uje upime?Hay my friendly;
View attachment 106786"real love "
True LOVE still exists till this day. Are you sure the love you have for your partner can be compared to this one you just read? No matter what, remember you chose each other. So share. It doesn't matter who puts food on the table.
cc: Mamndenyi, Nicas Mtei, Passion Lady, sweetlady, FirstLady, charminglady, Lady doctor, Heaven on earth, heaven on desert, Smile, amu, Asprin, Mtambuzi, kabanga, Mwita Maranya, Ruttashobolwa, Mr Rocky, Arushaone, Filipo, LiverpoolF, Mentor, KakaKiiza, Kipaji Halisi, stevoh, The secretary, Bishanga, kokuTUNA, cacico, gfsonwin, snowhite, lara 1, Himidini, Donn, Erickb52, Bujibuji, watu8, na maarafiki wengine niliosahau majina yenu nawapenda.
Mkuu ni sawasawa kwa wakati huu tulionao kumpata mwanamke wa aina hiyo ni sawa na kuokota embe dodo chini ya mti wa mpera. Kuna wakati mmoja mdada (jina limehifadhiwa) alileta uzi akilalamikia mwanaume wake kumtegemea yeye kwa manunuzi ya vitu vingi vya nyumbani.
Niliona jinsi ilivyotendewa haki na wadada humu, ikionesha jinsi gani wanapingana na hali hiyo.
tatizo la wabongo hawafugiki mkuu! unakuta mwanaume wallet ziro ila utulivu hakuna..believe me wala wanawake hatupendi wanaume matajiri kiivo....sema ndo hivo maskini wa pesa bongo ni maskini wa mapenzi pia...sasa mtu afanyeje ndo maana mtu anaona bora ajilipue na mifwedha...Mkuu ni sawasawa kwa wakati huu tulionao kumpata mwanamke wa aina hiyo ni sawa na kuokota embe dodo chini ya mti wa mpera. Kuna wakati mmoja mdada (jina limehifadhiwa) alileta uzi akilalamikia mwanaume wake kumtegemea yeye kwa manunuzi ya vitu vingi vya nyumbani.
Niliona jinsi ilivyotendewa haki na wadada humu, ikionesha jinsi gani wanapingana na hali hiyo.
Smile ukikaa nyumba ya vioo usikubali watoto warushe mawe kwako
Kwa pende zote mapenzi kama haya hakuna tunaumizwa wote na tunaumizana sana linapokkuja swala la mapenzi ya kweli bbaina ya watu na ndo maana ndoa nyingi zinavunjika kwa vitu kama hivi mtu ana expect kukuta mambo yako kwenye asilimia mia anakutana na mambo ya uswazi full kwa nini ndoa isiende mrama
honestly mapenzi mapenzi kabisa bwana ...mmmh hata huwa sielewi ...ila ukitaka kujua rafiki wa kweli pata shida aiseee ......who cares? utakufa mwenyeweSmile ukikaa nyumba ya vioo usikubali watoto warushe mawe kwako
Kwa pende zote mapenzi kama haya hakuna tunaumizwa wote na tunaumizana sana linapokkuja swala la mapenzi ya kweli bbaina ya watu na ndo maana ndoa nyingi zinavunjika kwa vitu kama hivi mtu ana expect kukuta mambo yako kwenye asilimia mia anakutana na mambo ya uswazi full kwa nini ndoa isiende mrama
Kumbe Heaven on Earth una pacha wako, mbona hatutambulishani wangu? Au unasubiri mpaka ajali itokee uje upime?
Mkuu wakati mwingine yapo kwa kigezo cha kuwa kuwa houseboy/housekeeper and nothing else.Mkuu grafani11 mapenzi ya kweli kwa hali halisi hayapo na eti utegemee unamuoa mwanamke huna kazi huna kipato wakati yeye ana kipato useme utegemee mshahara wake au afanye kama alivyofanya huyo dada hapo ni pagumu
Kama ni asilimia ni 1%. Na kumpata huyo mmoja shughuli yake unaweza kuzunguka Tanzania yote mpaka ukachoka.ila wako wadada wachache wenye moyo huo
Nimekubali maana hata sura wanafanana.ulikuwa hujui ndo pacha wake huyo tena ni mziwanda
Kama ni asilimia ni 1%. Na kumpata huyo mmoja shughuli yake unaweza kuzunguka Tanzania yote mpaka ukachoka.
Nimekubali maana hata sura wanafanana.
Haya mapenzi haya mbona majanga! kila mtu analia kapigwa jiwe sasa hakimu atamhukumu nani.tatizo la wabongo hawafugiki mkuu! unakuta mwanaume wallet ziro ila utulivu hakuna..believe me wala wanawake hatupendi wanaume matajiri kiivo....sema ndo hivo maskini wa pesa bongo ni maskini wa mapenzi pia...sasa mtu afanyeje ndo maana mtu anaona bora ajilipue na mifwedha...
Kwa nini mkuu?signature inatisha kama nini?