UNEA 2014 android app developed by a tanzanian

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Kuna app ya android ya UNEA imekuwa developed na dada wa kitanzania anaitwa esther lugoe.
Iko google play anahitaji downloads 20,000 i download na kuirate.
 
Ina husu nini mkuu..
Kuna watu wanapenda kuchosha wenzao tu,nimejaribu kuitembelea hiyo app hii ndio summary yake ni kuwa kutakuwa na mkutano wa mazingira chini ya umoja wa mataifa kuanzia 23/june 2014-27th june- Nairobi (united Nation Environment Assembly-UNEA) kwa hiyo hiyo app itakupatia documents zote za mkutano huo,schedules ,working docs,lorodha ya wahutubi,waoneshi,videos na blogs za UNEA.
a single use app then unataka downloads 20000?
 
Sijatengeneza hiyo app na wala aliyeitengeneza simjui, ila tu ni kwamba anahitaji support na katika maelezo yake anahitaji downloads 20,000 kutimiza lengo.
Mbona app zipo nyingi ambayo app moja unakuta ina downloads zaidi ya 100,000
 
Kwi kwi kwi, nilifikiri ni app ambayo tunaweza mpiga tough Mtanzania mwenzetu. Sasa sisi ambao hatuhudhurii huo mkutano hiyo app tuifanyie nini?
 
Sijatengeneza hiyo app na wala aliyeitengeneza simjui, ila tu ni kwamba anahitaji support na katika maelezo yake anahitaji downloads 20,000 kutimiza lengo.
Mbona app zipo nyingi ambayo app moja unakuta ina downloads zaidi ya 100,000
Kwa hiyo tukisha download? itatusaidia nini na sisi hatushiriki huo mkutano? kwa hiyo kwakuwa ni mbongo mwezetu hata kama akituletea program za pono pia tumsapoti kudownload sio? hebu tuache huko bwana.
 
Kama utaona haikufai unaacha kama utaona unataka kujua kipi kinaendelea kwenye hyo event unaweza download kwa wale wanaotaka kujua kipi kitakuwa kinaendelea huko.
Si kwamba haina maana ina maana kwa wale ambao wangependa kujua abt hiyo event maana inategemea mtu na mtu kuna wengine wanaona jf app pia kwao haina maana
 
Sijatengeneza hiyo app na wala aliyeitengeneza simjui, ila tu ni kwamba anahitaji support na katika maelezo yake anahitaji downloads 20,000 kutimiza lengo.
Mbona app zipo nyingi ambayo app moja unakuta ina downloads zaidi ya 100,000

Sasa mkuu sie tuna support vipi app ambayo hata ukidownload huna matumizi nayo?ndio maana nasema unatuchosha !au unafikiri ni wajibu kusupport chochote kutoka kwa jamaa yako hata kama hakina tija nanyi kimantiki?
 
Tatizo unafikiri watu wote humu wako sawa mkuu. Lakini wapo wana mazingira mfano mimi mwanamazingira pia na ndio maana nimefahamu kuhusu hii app japo kusema kweli haipp smooth but ni kazi yake ya kwanza nadhan may be atatoa updates.
Kwa wana mazingira na wengine wanaopenda kufahamu kuptia humu we hudhani kama inaweza kuwa muhimu kwao?
 
Inaweza kuwa muhimu kwao ,lakini wewe umetaka support ya jumla jumla kama vile tuna vote kwa mwafulani awe miss world au bin fulani akwae tuzo za BET!"hiyo haikuji bhana"
 
Yap still unaweza support hata kama hutumii kumu inspire mtengenezaji maana nadhani sio yeye tu wanacompete na wenzake wa kenya kutengeneza app.
Yani unafanya kama vile ambavyo ungempgia kura mtz akiwa anagombea tuzo ya kimataifa hafa kama mziki wake huupend.
 
This is some Crayz shit beleave Me !
Would i download the .apk if itself can't satsfy me ?

Back then she real wants a huge number of downloaders ' with useless app !
 
Unapokuwa developer number of downloding inakusaidia mengi sana mbeleni

Haya mambo jamani ndio yalivyo wakati mwingine unalazimishwa kulike page au unakuwa directed kwenye page fulani kabla ya kudownload na kadhalika ili kupata idadi ya watembelea site au like.kwe page ya fb ili kupata wafadhili nk

so unaweza kudownload na kuitoa tu kiroho safi kumpa sapoti kama unavyolazimishwa kulike nk

Kama hutaki potezea na si kumsakama mleta mada
 
Mpeni sapoti huyo dada. Suala sio kuitumia, unaweza kuidownload na kuitumia then ukampa wazo fulani ambalo anaweza kulitumia kutengeneza app nyingine nzuri sana. Ukiona haifai itoe.
 
Back
Top Bottom