Undumilakuwili wa Mhe. John Magufuli

WATANABE

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
1,091
1,195
Je wajua kuwa 2007 manispaa ya kinondoni ilitaka kubomoa jengo la rose garden pub lililoko mikocheni kwa sababu limejengwa katika hifadhi ya barabara lakini mhe john pombe magufuli akiwa waziri wa ardhi 2007 alizuia hatua hiyo lakini hivi sasa yeye ndio kinara wa kutaka wananchi wengine wabomolewe nyumba zao kwa kuwasingizia kuwa wamevamia hifadhi za barabara ilihali wakihamishiwa katika maeno hayo enzi za operesheni vijiji na serikali ya awamu ya kwanza, tena wengine kwa kuchomewa na kubomolewa nyumba zao huko porini walipokuwa wakiishi kwa raha mustarehe. (nipashe februari 23 2007, tanzania daima machi 8 2007).

Je kipi bora kati ya makazi ya familia yaliyoko zaidi ya mita 60 toka katikati ya barabara au klabu cha pombe kilichojengwa mita tano toka katikati ya barabara? Mhe joihn pombe magufuli huu undumilakuwili wa nini wakati ukitambua kuwa wananchi waliokuwa wanavijiji wa vijiji vya kimara,mbezi, kibamba na kiruvia na kwingineko tanzania wanalindwa na vifungu 15 na 16 vya sheria ya ardhi ya vijiji iliyopitishwa kwa kura yako kama mbunge? (tazama kiambatanisho section 15 & 16 of the village land act).

Pia unatambua kuwa hiyo hiyo amri ya kikoloni unayotumia kudai kuwa hifadhi ya barabara ni mita 120 kutoka katikati ya barabara ya morogoro "the higway (width of highwaya rules cap 167) 1967 ilishajifia na kufutwa rasmi na highway act re 2002 na hii pia kufutwa sheria mpya ya barabara namba 13 ya 2007 ukurasa wa 374 na 375 (tazama vimabatanisho road act no 13 2007).

Kwa mujibu wa sheria hiyo iliyotungwa na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania (sio amri ya kikoloni) hifadhi ya barabara kati ya "stop over kibaha" na mita 60 tu toka katikati ya barabara na sio mita 120 kama ilivyokuwa ikisema amri ya mkoloni (tazama kimabatanisho kifungu cha 29 2 d cha road management and regulations 2009).

Kwanini unawalazimisha mameneja wa tanroad kuchuma dhambi kwa kutumia sheria feki kukandamiza haki za wananchi wanyonge ilihali wewe unawakingi kifua matajiri wenye vilabu vya pombe kwenye hifadhi za barabara. Je huku kukandamiza na kupondaponda haki za wananchi ndio ubingwa wa kufuata sheria/


Land conflict in subsaharan Africa: Development and evictions along the Morogoro highway, Tanzania
Dissertation
Author: Rehema Godfrey Kilonzo

PATA NAKALA YAKO KATIKA KAZI YA MSOMI MTANZANIA UONE MAAJABU HAYO

Land Conflict in Subsaharan Africa: Development and Evictions Along the ... - Rehema Godfrey Kilonzo - Google Books
 

Attachments

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
13,664
2,000
This is USELESS, WORTHLESS, PERSONAL post.....

What...!!!?? Magufuli...!!!

do what u wanna do, say... wht u w nn say..!!

Pray even...God won't answer ur prayer.....!!!

Magufuli ANAFANYA BEST EVER JOB...!!

Watu walevi either wa ubongo au pombe au personal ulevi against Magufuli ni ZERO...

Huna la kusema...!!! Go to Ikulu and say ur nasty words still UTAFUKUZWA....


Finally ww ndiye NDUMILAKUWILI AT BEST NOT MAGUFULI....!!! Shame...
 

WATANABE

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
1,091
1,195
This is USELESS, WORTHLESS, PERSONAL post.....

What...!!!?? Magufuli...!!!

do what u wanna do, say... wht u w nn say..!!

Pray even...God won't answer ur prayer.....!!!

Magufuli ANAFANYA BEST EVER JOB...!!

Watu walevi either wa ubongo au pombe au personal ulevi against Magufuli ni ZERO...

Huna la kusema...!!! Go to Ikulu and say ur nasty words still UTAFUKUZWA....


Finally ww ndiye NDUMILAKUWILI AT BEST NOT MAGUFULI....!!! Shame...
Acha poyoyo nimekuwekea sheria zote zilizotungwa na Bunge la Janhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Magufuli anazozivunja kwa kung'ang'ania amri ya kikoloni iliyotungw na gavana na mabyo tayari imefutwa na bunge letu.

KUMBUKA ni serikali YA mWALIMU nYERERE iliyowachomea na kuwabomolea watu nyumba zao huko maporini walikokuwa wakiishi na kuwapakia katika malori na kuwaleta mababrani ilipoanzisha vijiji vya ujamaa, sasa hawa wananchi wana makosa gani "Nyerere" awchomee nyumba zao na kuwahamisha kwa nguvu na ardhi iliyokuwa mali yao yao kutwaliwa na vijiji vingine. Leo aibuke MAGUFULI adai wamevamia hifadhi za barabara.

Zungumza kwa hoja ukitaja sheria unayoitumia kumtetea Magufuli sio kuleta ushabiki wa mapenzi yako kwa mtu. Kama ni mapenzi kwa Magufuli nadhani tayari na mke haitaji mapenzi kutoka kwa mtu mwingine yeyote hapo tunajadili mustakabali wa taifa
 

cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,456
2,000
This is USELESS, WORTHLESS, PERSONAL post.....

What...!!!?? Magufuli...!!!

do what u wanna do, say... wht u w nn say..!!

Pray even...God won't answer ur prayer.....!!!

Magufuli ANAFANYA BEST EVER JOB...!!

Watu walevi either wa ubongo au pombe au personal ulevi against Magufuli ni ZERO...

Huna la kusema...!!! Go to Ikulu and say ur nasty words still UTAFUKUZWA....


Finally ww ndiye NDUMILAKUWILI AT BEST NOT MAGUFULI....!!! Shame...
shame on u hapo umeonyesha wewe ndiye mlevi.hujajibu hata hoja moja.kwako wewe Magufuli hafanyi makosa yuko perfect yaani umekuwa kama mchina wa enzi za mao.pangua hoja au fanya kama inavyosema biblia Mithali 17:28 Hata mpumbavu akinyamaza huhesabiwa hekima akifumba midomo yake huhesabiwa ufahamu.
Magufuli huyu akiwa waziri wa ardhi walijigawia nyumba za serikali kama wao ndiyo serikali ya mwisho tz.
mbaya zaidi kuwakejeli waliolalamika kuwa wanaowaonea wivu.kama wewe ni muumini katubu kwa muumba wako
 
Top Bottom