meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,197
Bbasy hata huko alikokua akikaa jamaa alikua haoi wala nini... Alishachokwa na tabia yakeAlipokuwa anakaa mwanzo .jamaa alifikia wakati anataka kuoa ivo ilibidi tu aje kwangu
Ushauri wako ni wa busara sana nakupongeza kwa hekima ulizo tumia kumshauri huyu jamaa yetu, hofu yangu ni kwamba huyu kaka MTU unautayari wa kusaidiwa au ndo wale ambao hawana utayari, hawana mpango wa kujishughulisha, hawapendi kazi, nk kama MTU anayo nia na unaona IPO ndani mwake japo hafanikiwa basi huyo huwezi kumuacha hata iwe miaka mingapi ila wanaumiza wale ambao hawajali na hawataki hata kuelewa.Pole kwa changamoto ndugu hata mzaliwe tumbo moja huwezi fanana tabia na mambo mengine. Hapo unaweza kuta anajenga we unamhudumia[emoji23][emoji23][emoji23] sijui itakuumaje.Naandika huku nacheka siku anakuambia dogo twende Chanika au Bunju ukaone kibanda changu af ahamie kwake we akuache umepanga looooh!!!
On a serious note though...As long as ni ndugu yako tafuta namna muachane kwa amani. Just make sure anakipato cha kueleweka maana unaweza tengana nae na bado akawa anaishi kwa kubangaiza utajiskia vibaya zaidi.
Cha kufanya tafuta sehemu nyingine hapo mwachie. Gawa vitu usichukue vyote ili akose point ya kulalamika na kuku haribia home kua umemtelekeza. As long as unajituma utapata vingine. Na yeye atajua atatafutaje. Kama una kitanda na makochi, beba kitanda mwachie kochi alalie.
Nakushauri japo naandika huku nawa zoom ndugu zangu wa damu I would never get tired of living with them no matter how tough life is...kumbuka maisha hayana formula haya. Leo unamsaidia yeye kesho kama haupo wema wako ataulipa kwa wanao. Kazi zenyewe hazina guarantee unaweza ukose kazi ujikute unamhitaji angalau mtegemeane to make ends meet.
Au pia kama hana kipato kizuri shauriana nae um support aanze biashara.
Hutaishi kwa amani ukimuacha ndugu yako kwenye mazingira magumu wakati we unaishi vizuri. Ndo maana Mungu akatupa ndugu ili tusaidiane (japo sio mara zote ndugu wanasaidiana)
Majibu yako wewe huwaga ni 😂😂😂Hilo Tatizo ulitaka mwenyewe alikuomba umuite?
Nimekuelewa sanaPole kwa changamoto ndugu hata mzaliwe tumbo moja huwezi fanana tabia na mambo mengine. Hapo unaweza kuta anajenga we unamhudumia[emoji23][emoji23][emoji23] sijui itakuumaje.Naandika huku nacheka siku anakuambia dogo twende Chanika au Bunju ukaone kibanda changu af ahamie kwake we akuache umepanga looooh!!!
On a serious note though...As long as ni ndugu yako tafuta namna muachane kwa amani. Just make sure anakipato cha kueleweka maana unaweza tengana nae na bado akawa anaishi kwa kubangaiza utajiskia vibaya zaidi.
Cha kufanya tafuta sehemu nyingine hapo mwachie. Gawa vitu usichukue vyote ili akose point ya kulalamika na kuku haribia home kua umemtelekeza. As long as unajituma utapata vingine. Na yeye atajua atatafutaje. Kama una kitanda na makochi, beba kitanda mwachie kochi alalie.
Nakushauri japo naandika huku nawa zoom ndugu zangu wa damu I would never get tired of living with them no matter how tough life is...kumbuka maisha hayana formula haya. Leo unamsaidia yeye kesho kama haupo wema wako ataulipa kwa wanao. Kazi zenyewe hazina guarantee unaweza ukose kazi ujikute unamhitaji angalau mtegemeane to make ends meet.
Au pia kama hana kipato kizuri shauriana nae um support aanze biashara.
Hutaishi kwa amani ukimuacha ndugu yako kwenye mazingira magumu wakati we unaishi vizuri. Ndo maana Mungu akatupa ndugu ili tusaidiane (japo sio mara zote ndugu wanasaidiana)
Wewe ulimwita wa nini kama hukuwa na uwezo wa kumhudumia?Ilikuwa tarh 17/01/2016. Kwa mara ya kwanza nafika Dar es Salaam, nilifikia kwa jamaa ghetto kiumeni na baada ya mwezi mmoja brother niliyefuatana naye pia akaja Dar. Nilikaa kwa jamaa miezi 7 nikapata chumba mambo yakawa yanasonga ikabidi nimwambie brother njoo napoishi sababu yeye alikuwa anakaa kwa mwenzie .
Brother toka aje ghetto kulipia maji hataki, kulipia umeme hataki,uchangia kodi hataki hata kununua sabuni hataki. Yeye ghetto anaishi kama popo, siunajua tabia ya popo ni kubembea tu hajali hata kujenga kiota.
Huyu brother hata kujinunulia shuka hataki, hata kununua sabuni anategea pia oneshi dalili za kutaka kuondoka.
Nimejaribu kumwambia kuwa hapa tunapoishi sio nyumbani siku mdogo wako nikiwa sina pesa tutafukuzwa tutaishi wapi.! Kama hutaki maisha ya kusaidiana basi panga chumba chako. Nilimwambia hivyo naonekana nina roho mbaya.
Pia yeye yupo upande wa mama yaani kamezeshwa sumu za kumchukia Mzee.Mimi nipo upande wa baba .
NAOMBENI USHAURI HUYU BROTHER NIJITENGE NAE VIPI BILA KULETA CHUKI
Dawa yake ndogo sana mbona iseee! Kama una dem/mchumba, muombe aje kwako angalau kwa siku hata 3 tu (ale n.a. kulala hapo kwa siku hizo zote).ukimpanga akakubàli, mwambie broo wako wewe unataka kuoa n.a. mkeo atakuja hivi karibuni, so ajipange kivingine (unampa taarifa angalau week 1 kabla). Siku akifika dem wako vaa sura ya mbuzi, usimuonee huruma kabisa, mwambie atafute namna nyingine ya kuishi.Ilikuwa tarh 17/01/2016. Kwa mara ya kwanza nafika Dar es Salaam, nilifikia kwa jamaa ghetto kiumeni na baada ya mwezi mmoja brother niliyefuatana naye pia akaja Dar. Nilikaa kwa jamaa miezi 7 nikapata chumba mambo yakawa yanasonga ikabidi nimwambie brother njoo napoishi sababu yeye alikuwa anakaa kwa mwenzie .