Ndio abebevitu vyake akahamie kwengine na amwambie ameshindwa kukaa hapo sababu ya yeye kutojigusa na chochote atakapohamia asimwambie hapo sion kama kuna kutengana kwa amani mana naona ugomvi wao umeanzia mbali sababu wazaz wao wenyewe wameweka mipaka hata wakipewa hii kesi kila mtu ataaamua lake.Ataondokaje? Asepe na vitu vyote afu bro wake atamuachaje? Kumbuka amesema anataka atengane nae peacefully
Apo ndo changamoto .Kila kitu changu .zake nguo tu sasa nikibeba vitu vyangu atabaki kulaza mbavu sakafuni .apo lazima kwenye simulidhi zake itakuwa Mimi nime aso ww ndugu aliniacha nikiwa sinakitu tena sakafuniAtaondokaje? Asepe na vitu vyote afu bro wake atamuachaje? Kumbuka amesema anataka atengane nae peacefully
Unacho sema nikweli .nishawai peleke kwa mama kuwa uyu brother anafanya ujinga.nilionekana mtu mwenye roho mbaya kutokea kwenye tumbo lakeNdio abebevitu vyake akahamie kwengine na amwambie ameshindwa kukaa hapo sababu ya yeye kutojigusa na chochote atakapohamia asimwambie hapo sion kama kuna kutengana kwa amani mana naona ugomvi wao umeanzia mbali sababu wazaz wao wenyewe wameweka mipaka hata wakipewa hii kesi kila mtu ataaamua lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apo ndo changamoto .Kila kitu changu .zake nguo tu sasa nikibeba vitu vyangu atabaki kulaza mbavu sakafuni .apo lazima kwenye simulidhi zake itakuwa Mimi nime aso ww ndugu aliniacha nikiwa sinakitu tena sakafuni
Kwahiyo hutaki asimulie hivyo ama? Kama unataka ujiko endelea kumhudumiaApo ndo changamoto .Kila kitu changu .zake nguo tu sasa nikibeba vitu vyangu atabaki kulaza mbavu sakafuni .apo lazima kwenye simulidhi zake itakuwa Mimi nime aso ww ndugu aliniacha nikiwa sinakitu tena sakafuni
Atachapiwa mshauri kingine[emoji23] [emoji23] [emoji23]